Duration 25:54

Bishop Ngonyani- HISTORIA YA TAIFA LA ISRAEL EPISODE 2

18 072 watched
0
135
Published 2018/11/25

Ungana na Bishop Aulerian Ngonyani katika mfululizo wa mafunzo juu ya Historia ya taifa la Israel. Bishop Ngonyani ni Mwalimu wa neno la Mungu aliye bobea katika historia ya kanisa na theolojia. Kaa naye katika channel hii kujua historia ya kanisa na Taifa la Israel ili kukua kiroho na kuwa thabiti katika imani ya Kikristo. MAWASILIANO; Bishop Aurelian Ngonyani 0655 40 77 64 | 0755 40 77 64 Perfect Light Studios 0742 41 14 11 | 0677 04 55 10

Category

Show more

Comments - 55