Duration 20:18

DEREVA BODABODA ALIVYOKUTANA NA KIUMBE WA AJABU USIKU WA MANANE/ALINAMBIA TUMALIZANE/CHUPUCHUPU

134 227 watched
0
648
Published 2021/02/20

#maisha #simulizizakweli #mbanga Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Dar24 #Dar24Media

Category

Show more

Comments - 141
  • @
    @bilalbaker9238منذ 3 سنوات Asante Mbaga, lakini pia ndugu Boda kwa kutueleza kiumakini. 1
  • @
    @emmanuelmkumbo1792منذ 3 سنوات Kazi kama kazi, karibu sana mshkaji wangu
  • @
    @crixwidaxl9999منذ 3 سنوات Kazi km Kazi. Hahahaaa
    Karibu ten mshikaj wang
  • @
    @pendaelimolell3510منذ 3 سنوات Ni kweli brother ata Mimi nilisha fanywa ifo jamaa kanitoroka bila kunilipa 1
  • @
    @giddyarchard6268منذ 3 سنوات Hizi story za msibani
    Kufariji wafiwa
    1
  • @
    @Davians711منذ 3 سنوات Father Piro umeyumba umejichoresha kinoma
  • @
    @ramadhanyusuph7633منذ 3 سنوات JAMAA KUNA NENO KASEMA NIMELIPENDA SANA KWAMBA KAZI NI AKILI YAKO KUKOMAA UPATE PESA AU KULA MZIGO TU ULUDI PATUPU TZ✅LAHA SANA 3
  • @
    @jumahamis227منذ 3 سنوات Ana maneno mengi sana, inaonekana mchangamfu sana ukipanda boda yake . 1
  • @
    @mwanahalimamwachili9679منذ 3 سنوات Weuweeeeee Jamani, Charger Ya Kobe Huyu. 2
  • @
    @zindahwillson2106منذ 3 سنوات Matukio yote umekutana nayo we no ma Sana mzee
  • @
    @castoagust7073منذ 3 سنوات Kama umeskia sometimes madem wanalalia mgongo wangu gonga like 7
  • @
    @magretpeter9924منذ 3 سنوات Hapo kwenye kumpa boda yako akachukue hela kwa boss ni uzembe utampaje mtu chombo chako cha motoo? 1
  • @
    @magemushi5594منذ 3 سنوات Chereani tena ya umeme maneno mengiiiii sijui unaulizwa nini unajbu nini ilimradi umechangamsha genge
  • @
    @bilhaagutu9788منذ 3 سنوات Wale wa 254 wapi likes zetu kwa kipindi kizuri
  • @
    @yohanamuumbe4628منذ 3 سنوات waandishi wa habari muwe mnaandika habari za kuelewaka kwa jamii,jadithi hatutaki 1
  • @
    @dulamedy2296منذ 3 سنوات Karibu tena mshkaji wangu.huyu kweli ni bodaboda
  • @
    @mwidinijuma8214منذ 3 سنوات Huyu jamaa kama muongo vile anasema pikipiki ilikuwa silencer alichofanya nikuwasha bodaboda na kuondoka!!!!. 1
  • @
    @adilhabibu7958منذ 3 سنوات Sema hapo wasomesha wenzio kama btahadhar tu
  • @
    @fadhilikawambwa5159منذ 3 سنوات MMMMH HUYU JAMAA HAKUMALIZA KWELI?MBONA MJANJA SANA
  • @
    @jayjay4313منذ 3 سنوات Jamaa wa namna hii waongeaji ka umeme lazima story zao zihusike na mambo ya kutofikirika. 5
  • @
    @stidejustin1156منذ 3 سنوات Yani kuanza ru kutizama nimejua haka kajama kanaongea sana kazee lkn kansmuita jamaa mshkaji wang
  • @
    @cheiknamouna2058منذ 3 سنوات Ati ukiwa msafi is mater zaidi nani kaskia hiyo 2
  • @
    @godfreypeter5242منذ 3 سنوات Huyu jamaa muongo alifanya ukiondoa hiyo mitihani mingine
  • @
    @ivaniavianarodrigo7201منذ 3 سنوات huyu kameza mabetry na zile kanda za kaseti, au flash maana daa!!!, analonga sana. 2
  • @
    @uvuvuvwevweonyetenyevwe121منذ 3 سنوات sura na shat kama muimba kwaya ila sasa anavyopiga domo anaonekana dalali huyu
  • @
    @d.m453منذ 3 سنوات Kwani bodaboda yenyewe inasemaje bladha,maana naona mauongo uongo tu,kila uulizwacho ulikutana nacho
  • @
    @magrethdavid3468منذ 3 سنوات hahahahaha kweli kana mastory ya uongo haka kazee 1
  • @
    @magemushi5594منذ 3 سنوات Ulivokua unaambiwa na uyo dada mmalizane ulikuwa na iyoiyo sura au nyingine 1
  • @
    @irakozejclaude7869منذ 3 سنوات Kwanza mzee au kijana?nahofu nahuu kiumbe waajabu.Dc huu mchukuwe kachunguzwe 1
  • @
    @alphankilenga6209منذ 3 سنوات HUYU JAMAA LAZIMA ALIMENYA . MAANA MIJIDADA INAYOJIUZA KAMA HIYO INAKUWAGA NA MITEGO YA new model. 3
  • @
    @christianjohnmwalugaja8090منذ 3 سنوات Huyu mwongo tu kisa cha kwanza alichohadithia 1
  • @
    @salmadhiab2693منذ 3 سنوات Duh muongo kilakitu kapitia mtangazaji muulize vp wewe hujabakwa tusikie atajibu nini 3
  • @
    @godwinmpazi1560منذ 3 سنوات Huyu Jamaa hazeeki.mchicha ,ugali na dagaa mbichi.msidharau huo mlo ndugu zanu
    Namkumbuka alikuwa mpiga debe kituo cha Mwenge enzi hizo matope kibao.nilikuwa msingi sasa none kana nimezeeka kuliko yeye.
  • @
    @suzanemwangingo6932منذ 3 سنوات Sina muda wa kumsikiliza huyu chizi naangalia watu wanaoongea point