Duration 2:28

RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA AKIZUNGUMZA KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI.

7 329 watched
0
20
Published 2015/08/24

Rais Mstaafu Mhe. Benjamin William Mkapa asema kwamba CCM ndio Chama pekee cha Ukombozi kwa bara na visiwani akieleza kuwa CCM imepata Wagombea madhubuti wenye juhudi ya kuelewa, kueleza, kutetea na wenye bidii kwenye utekelezaji.

Category

Show more

Comments - 1