Duration 6:32

Nikupe Nini Mungu Wangu | B A Lukando | Sauti Tamu Melodies | Sadaka/Matoleo ~Skiza

3 511 304 watched
0
8.2 K
Published 2020/09/11

Nikupe nini Mungu wangu, nikupe nini we Mwokozi, nikupe nini Bwana wangu cha kukupendeza? Ninakuomba Mwokozi, nifanyie msamaha na unipokee Mema unayoyatenda, nitafanya nini mimi, nikurudishie. Tazama pia Anayekula Mwili wako, Nijaposema kwa Lugha, one of our latest Catholic Music choir songs Kenya and Tanzania. Waimbaji - Sauti Tamu Melodies wimbo wa sadaka na matoleo /vipaji Mtunzi: Basil A Lukando Mtayarishaji: Martin Mutua Munywoki Nyimbo nyingine za sadaka maarufu ni pamoja na Sasa wakati umefika, Tazama Bwana tunakuja kwako, sadaka yangu kwako ee Mungu, nitakwenda mimi mwenyewe, Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe na Sala yangu na ipae mbele yako #SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipendwa

Category

Show more

Comments - 1238