Duration 12:34

UTAJIRI WA Diamond Platnumz na Team Yake Aongozana na Msafara wa MAGARI ya KIFAHARI

229 222 watched
0
1.6 K
Published 2020/07/14

Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu. FOLLOW US Follow on Instagram: https://www.instagram.com/mwendokasitv/ Follow on Facebook: https://web.facebook.com/mwendokasimedia/

Category

Show more

Comments - 187
  • @
    @kilmifenciozitha4203منذ 4 سنوات My feverant artist I'm Mozambique salamaleko 11
  • @
    @carentemu9141منذ 3 سنوات Mungu am barikizaidi afkembariy kimuzik
  • @
    @dannymusictz9442منذ 4 سنوات Daah toka kwa bobjunior mpaka utajili huu sio kitoto 16
  • @
    @kabwelerywamwatumu5078منذ 4 سنوات Mtangazaji umeongea kweli Diamond ndo mpango mzima . 9
  • @
    @jnaymichael5758منذ 4 سنوات Daaaaah uyu blood anajiwe kinoma an gari n za ghalama kinoma an
  • @
    @gazamerlvaxmukwano5844منذ 4 سنوات Kakangu ya mbosso imeweza tena si wakusimulia 1
  • @
    @danielmunyao8187منذ 4 سنوات Kwa burudani anayonipa diamond ni sawa yake kumiliki vyote avitakavyo. Kifupi napenda kazi zake sana. From kenya 3
  • @
    @shemsahemed3577منذ 4 سنوات Mungu atawapa utajiri wenye kheri na wao 1
  • @
    @frediricknandonde1690منذ 4 سنوات Mimi kila siku nasema wenye hela hawa wana mungu wao tofauti na sisi akina ujugu
  • @
    @lucasezekiel9782منذ 4 سنوات Ananifurahishaga Lukamba yeye Anacheza na cameraaaa 2 1
  • @
    @tresorkinyeshe6965منذ 4 سنوات kweli Huyu msanii wetu diamond nikudume kweli watanzania wooote mujipe furaha sanakwakuwanamsaniikama Huyu Kwenu Tanzania piya vilevile na kondeeeeboyiiiiii
  • @
    @barakashilumba1103منذ 4 سنوات Izo nguo za.zuchu mh! Mungu atusamehe.ata kama pesa
  • @
    @nenadurra8477منذ 4 سنوات Mtangazaji kiswahili vepeeee, ni gari au gali? 7
  • @
    @suleimanamani6413منذ 4 سنوات Bro ni range rover si discovery
    Gari aliopanda mosy yobo ni ile ya mama dangote alafu pardo moja ya mbosso nyingine ya mondi ile alio mpaga tanasha
    6
  • @
    @Lovearatorمنذ 4 سنوات magari hayo yote ni ya thamani sana na lakini lile jeusi ni la bei ya juu sana. Kama sjakosea kwa mbali ni la pesa taslimu milioni 35 za Kenya 2
  • @
    @sakiman8825منذ 4 سنوات No need for many cars build schools with the money ur legacy will last for hundreds of years many kids will have brighter future those cars will eventually rust 2
  • @
    @jessicabrown5885منذ 4 سنوات Kwanza umeanza kukosea kwenye gari ya mboso
    Wakati ni ya bi sandra
    Mboso ni prado tx limited
  • @
    @mussataliye7815منذ 4 سنوات Wewe muadish huna ham wakuwa nao huo utajir 9
  • @
    @charlesmuhagama2358منذ 4 سنوات Iyogar nyeusi inadhaman yamirion mianaishirni 2
  • @
    @rowlandmushi269منذ 4 سنوات We jamaa acha uongo mendes haendeshi discovery bana ni range rover sport
  • @
    @nuuhmkaly7458منذ 4 سنوات Nahitaji au ninashida na no ya diamond platnumz
  • @
    @nansikilovele1424منذ 4 سنوات Hahaaaa,ww mtangazaji wew,unawachokoza wanaofanya mzik kujifurahisha,badala ya kufanya km biashara! Hahaaaa tugari twingine twa watu wa upande wa pil mmmh! 1
  • @
    @johnsonkillenga8389منذ 4 سنوات Siwezi kuishi maisha ya kifahari angali Kuna watu Wana njaa atakama nimebarikiwa zaidi ya hapo lazma niishi maisha ya kawaida ili Nile na wenzangu
  • @
    @ahmeddarweysh3158منذ 4 سنوات Unajua maana ya kufuru.?.Lamborghini, Bugatti, ferrari 6
  • @
    @kelvinnidbaza4717منذ 4 سنوات Huyu jamaa mweu,izo gari anakata bima ya third party
  • @
    @abubakarikisuju5374منذ 4 سنوات Hayo magari ni ya diamond ila kawapa wafanyakazi wake"wayatumie lakini wakijiondoa WCB wanayarudisha 7
  • @
    @leticiatibanyenda282منذ 4 سنوات We ntangazaji hacha ujinga tafuta vya kwako
  • @
    @cartv5085منذ 4 سنوات mzee ni range rover hyo na si land rover bro " discovery ni land rover "
  • @
    @rowlandmushi269منذ 4 سنوات Alafu iyobo anaendesha gari ya mamaake mondy 1
  • @
    @yasinalli3406منذ 4 سنوات Sio yote magari yake iyo range rover nyeupe ya sallam SK iyo land cruiser nyeupe ni ya mbosso iyo v8 nyeupe ni ya simba 5
  • @
    @leticiatibanyenda282منذ 4 سنوات Km freemason kweli mungu anaona na hakiamua kuanza kutandika watu viboko ntalia wengi
  • @
    @michaelkessy5740منذ 4 سنوات Thamani ya gari hayo, hadi uwone kwa ndani? Usibabaike na bodi
  • @
    @mrmago4870منذ 4 سنوات Tukitaka kujua kama huu utajiri ni wa haki au laah. Kwanza tujiulize huyu Diamond show moja ya nje analipwa sh ngapi?na anafanya show ngapi za nje id="hidden5" class="buttons"> kwa mwaka? Matangazo yanamlipa sh ngapi (Pespi, Parimatch n.k.) . Nadhani hapo ndo tutaelewa vizuri kuhusu pato lake je linamruhusu kumiliki magari kama hayo. ....وسعت 1
  • @
    @chrismassawe326منذ 4 سنوات Uongo tu hana utajiri huo hanaa na ukitaka kuamini subiri akifa kama kanumba ndo utajua kumbe msanii ni msanii tuu
  • @
    @Mamatonny2065منذ 4 سنوات Ushamba tu!. Leteni Mambo ya maana!.Udaku haufai!. Fanyeni kazi kwa bidii milango yote iko wazi! Msipoteze muda wenu hapo. 1
  • @
    @othmanomar7570منذ 4 سنوات Mwandishi utafirwa kw ushamba w magar ayo huku zanzbar tumechora taxi cc tunapakilia watu 2
  • @
    @alibinali_منذ 4 سنوات Wacha kuongea ujinga kaka sio poa be open be real hayo magari ni ya watu tofauti Diamond salam lavalava mbosso sio Diamond peke yake aliekuja hapo