Duration 5:44

ASKOFU MGULUKA//JIUNGANISHE NA WATU. // USIMALIZE MIAKA MITATU HATA MCHUNGAJI WAKO HAKUJUI

79 watched
0
1
Published 2020/08/02

Akofu mguluka wa jimbo la morogoro katika kanisa la EAGT ambaye pia ni mchungaji kiongozi wa kanisa la EAGT bonde la baraka amewashauri vijana jinsi ya kutengeneza mduara mzuri wa ndani ili kuwa fanya vijana kufikia malengo yao na ndoto zao kubwa.

Category

Show more

Comments - 0