Duration 4:53

KUJENGA BWAWA NA KUFUA UMEME WA KUTOSHA HII HAPA THAMANI YAKE

96 watched
0
0
Published 2020/07/01

Nchi itakuwa na maji ya uhakika kwa kilimo cha umwagiliaji, hivyo kuongeza uzalishaji wa mazao na ufugaji katika eneo lililo chini ya eneo la mradi wa maporomoko ya Mto Rufiji. Kuongeza mapato ya nchi kutokana na kustawi kwa shughuli za kitalii katika eneo la mradi. Kuvutia uwekezaji katika sekta ya viwanda na sekta mbalimbali za uchumi kutokana na kuwepo kwa umeme wa uhakika na wa bei nafuu hivyo kupunguza tatizo la ajira #tanesco #rufiji #Ikulu

Category

Show more

Comments - 0