Duration 1:30:38

NILIVYOBEBA MIMBA YA SHEMEJI YA SHEMEJI YANGU MME WA DADA.

144 608 watched
0
760
Published 2021/11/09

Category

Show more

Comments - 85
  • @
    @janeshigami8769منذ 3 سنوات Nafurahia jinsi msimlizi huyu anavyo badilisha sauti ya kila mtu 9
  • @
    @sumeiyamaddy95منذ 3 سنوات Wanaume wa hivi hapana mungu mstiri mume wngu bora madudu yke afanye njee lkn c ndan 9
  • @
    @ismailmkame4205منذ 3 سنوات Mashemegi wana mitihani mitego kila aina lazima utaingia box tu 2
  • @
    @malkiawasauti1217منذ 3 سنوات Sasa baba Vai huo uchu kwamba mama Vai anafanyaga kazi gani eneweyi anjera faidi utamu coz wamama tumezoea kubana wadada wa kazi when tunalisha vyakula vyamafuta 9
  • @
    @enithanelson8418منذ 2 سنوات Mwanaume unatamaa wew au unapepo la ngono mwanaume kichwa cha nyuma na anafananishwa na Kristo sasa kwa mfumo huo mnatamaa mbaya sana wanaume Mungu anawaona id="hidden3" class="buttons"> mgeukien Mungu shetan amewakamata anabuluza kama nn waefeso ....وسعت
  • @
    @husnaameen9309منذ 2 سنوات Wanaume wengi Malaya Sana alimtamani siku nyingi hapo alitimiza tu haja yake 3
  • @
    @reenreen7031منذ 3 سنوات Asante sana kaka simulizi nzuri sana yenye mafunzo,, wanaume Kama Hawa ,,daaa ni hatari sana 6
  • @
    @avelinabaluhya2804منذ 3 سنوات Tamaa mbaya na ubinafsi wa hali ya juu 1
  • @
    @semenimohamed8156منذ 3 سنوات Kwani ank j simuliz ya nyumba yamisukule vip 6
  • @
    @carolinenakirutimana1559منذ 2 سنوات Na Angela ni malaya. Angepiga kelele. Naye alikua anatamani shemeji yake 1
  • @
    @florafrancine5025منذ 3 سنوات Swali je Maisha nisiyo yatalajia imekwisha ao tusubilie Season 3 ??? Tafadhali nijibie Anko J 1
  • @
    @dearmama7865منذ 3 سنوات Mbinu tunazo ila tunakamatwaga kidog sana 1
  • @
    @shakilamasoud2983منذ 3 سنوات Wanaume watafika mbiguni wamechoka sana. 5
  • @
    @aishaabdi2059منذ 2 سنوات Sasa kama mama mwenye nyumba anamuita mama mkubwa mume wamama mkubwa atamuitaje shemeji
  • @
    @enithanelson8418منذ 2 سنوات Mshahara Wa dhambi ni mauti bari kalama ya Mungu uzima Wa milele warum kumbuka unachopanda lazima ukivune tumgeukie Muumba dunia sio Yetu wapendwa tusikubar kubuluzwa na shetan ....وسعت 1
  • @
    @twaenimtekele5408منذ 3 سنوات Daaaa pole Sana anjela shemeji ako atahukumiwa mungu atakuponya 1
  • @
    @fuhftyfiufffg478منذ 3 سنوات tunakufata sana kutoka Burundi simulizi zako zina mafunzo mungu akubariki sana 1
  • @
    @user-qg2sw9bj2iمنذ 3 سنوات Ss baba vai anashangaa nn mwanaizaya uyo 5
  • @
    @melkimsangi6723منذ 3 سنوات Unauma ila inafundisha mashemeji wengine wenye tabia kama hiyo
  • @
    @buru1235منذ 2 سنوات Wanaume wenzangu tuache ulafi jameni wow so sad
  • @
    @johnkuma6867منذ 3 سنوات Inapendeza sana ni kama sineme unaitazama .Tuna kusikiza vyema sana hapa Kenya 6
  • @
    @mariamalongo8803منذ 2 سنوات Ila huyu Baba nibaya såna mina ilikuwa yake kwanini jakumtunza Tu msichana?
  • @
    @carolinenakirutimana1559منذ 2 سنوات Mwanaume mualibifu kwa nini aliamuru kumualibisha shemeji yake mwenye angeolewa mu mume wake wa bujana Na kufurahiya ubikra wa mkewe
  • @
    @kemuntojackline2267منذ 3 سنوات Simulizi nzuri aja nisikishe Nita comment baadae mpendwa 4
  • @
    @vero756منذ 3 سنوات Wanaume wengine ni wanyama tu.hy muhuni 5
  • @
    @emilyiboya2598منذ 2 سنوات Nisimilizipa.a.nimafuza..imenfuza.kuishi.nashemeji..asate.nimeisikiya.niko.riady
  • @
    @hamzarajabu9201منذ 3 سنوات Ahhahahhahahah nakubali sana tu najifuzaki tu 1
  • @
    @phaniceotieno3814منذ 2 سنوات Rest in peace mysister,abortion is a time. 2
  • @
    @semenimohamed8156منذ 3 سنوات Waooo asante kwa sauti tamm sana yenye kubembeleza 10
  • @
    @enithanelson8418منذ 2 سنوات Mwanaume unatamaa wew au unapepo la ngono mwanaume kichwa cha nyuma na anafananishwa na Kristo sasa kwa mfumo huo mnatamaa mbaya sana wanaume Mungu anawaona id="hidden6" class="buttons"> mgeukien Mungu shetan amewakamata anabuluza kama nn waefeso ....وسعت
  • @
    @enithanelson8418منذ 2 سنوات Mshahara Wa dhambi ni mauti bari kalama ya Mungu uzima Wa milele warum kumbuka unachopanda lazima ukivune tumgeukie Muumba dunia sio Yetu wapendwa tusikubar kubuluzwa na shetan ....وسعت 1