#Uchaguzi2020
#Kawe
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe Mhe.Halima Mdee, amekamatwa na jeshi la polisi kwa madai kwamba ameingilia zoezi la uchaguzi, baada ya kudai kuna mabegi ya kura feki yanayoingizwa kituoni hapo.
Hapa ni sehemu ya mzozo wa Halima Mdee na polisi.
@chazbhai9268منذ 4 سنواتUsikate tamaa dadaetyu mungu atupe uzima one day tutashinda
@
@bjzee1981منذ 4 سنواتMwenyezi Mungu amuadhibu kilawenye kudhulumu
@
@mwalongojulius1755منذ 4 سنواتMungu amlipe sawasawa na matendo yake aliyeamuru mitandao kuzimwa kama siyo sasa badae kama siyo badae kesho kama siyo kesho week mwezi mwaka afedheeshe kama alivyo tufanyia yeye na walimtuma kama mungu aishivyo amen.
@
@selemanmuhidin2112منذ 4 سنواتDar,uchaguzi gani huu mungu tusaidie upite salama
@
@veronicapaulo2233منذ 4 سنواتPole kwawale ambao wanadhani hawakupata haki yao. Ila mimi nafikiri kwamba njia sahihi ilikuwa wananchi kugoma kupiga kura kama walihisi tu kunaudanganyifu id="hidden2" class="buttons"> umefanyika na kuingiza mabegi yenye kura ambazo hazikuwa halali. ....وسعت
@
@karanibonge5906منذ 4 سنواتAlafu Kulikua na wangalizi WA kimataifa Ila walisema uchaguzi ulikua huru na haki chakushukuru mungu yupo na anaona pia kunamaisha baada ya uchaguzi tuchapeni kazi
@
@israeleliah7163منذ 4 سنواتDaaaaah ndy mme shinda kwa kishindo hvy 3
@
@mgessykishiwa2666منذ 4 سنواتMungu ataleta heshima yetu tu karibu sana
@
@alicemzaza8460منذ 4 سنواتCyo haki kabisa uchanguzi wa Mwaka cji kupiga kura tena cyo kabisa lakn mungu ni mwema atatusaidia cku atajibu maombi yetu
@
@reaper5534منذ 4 سنواتMungu ANAWAONA. HASIRA YA MUNGU NI KALI MNO KULIKO MNAVYOFIKIRIA. 9
@
@mabenatv8554منذ 4 سنواتHalafu mshindi gwajima mtumishi wa mungu
@
@halimaalsaad5469منذ 4 سنواتUongozi mmeukuta namtauwacha kwakwelisiwezi pigakura maisha yangu yote
@georgezablon3522منذ 4 سنواتHatukuwa na uchaguzi ss, ila waacheni tu hao ccm 2
@
@simbarajabu4157منذ 4 سنواتAhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wanafuraisha sana hawa
@
@amenatanzania3148منذ 4 سنواتKweli nimeamini mungu analipa hapahapa duniani
@
@simbarajabu4157منذ 4 سنواتNashangaa sana kumbe mmeshazoea kuwatisha watu safari akuna tupa kule sauti ya zege
@
@masaielia2076منذ 4 سنواتSerkali mnatangaz Aman huku mmeficha mapanga iko wapi Aman yetu Tanzania 43
@
@shizoshop2469منذ 4 سنواتSiku mungu akinijalia kukutana na gwajima nitamuonyesha hii clip harafu nitamuuliza unauzungumziaje ushindi wako ?
@
@barakakimaro2394منذ 4 سنواتDuh wananchii wanakomaa kweli huo ndo umoja
@
@emmanuelben456منذ 4 سنواتKidumu chama cha mapinduzi kidumu chama tawala. Yeah
@
@ericklibaba1198منذ 4 سنواتItoshe kusema Huu ndio uchaguzi wa hovyo toka Tanzania ijipambanue Kama nchi Huru. Na Africa Mashariki kwa ujumla. Daaaaah INAUMIZA Sana aseee 2
@
@thomasraiton7760منذ 4 سنواتMchungaji gani askofu gani anakubali kirahisi kujihusisha na siasa wakati anajua siasa ni ufisadi uuaji uongo na mengine mengi ikiwemo uchawi na ushirikina?
@
@manassehjoseph3438منذ 4 سنواتDaah hii ndo Tanzania nchi ya amani mh God bless us!
@
@rashidngwawile9062منذ 4 سنواتHaibu Sana hii Kama wao ndo washindi sa kwa nn waibe kura
@
@fredichaki4868منذ 4 سنواتMajizi ya Kula Yana julikana tu yani adi haibu ovyo
@
@dani72130منذ 4 سنواتsiku hizi mabegi yanabebea kura, ni mabadiliko makubwa haya, hongera gwajima kwa ushindi
@
@salemaltameem8845منذ 4 سنواتWao hawapigani mabomu vo. wanatuuwa sisi tu wapemba.
@
@africanheroestz-acapella2458منذ 4 سنواتArusha yetu iko shwari sana tumeshampiga mtu chini sasa hv tunaendelea na maisha
@
@issaally7928منذ 4 سنواتAkuna namna zaidi ya kutorewa na jeshitu
@
@jenifamligo5199منذ 4 سنواتHalima nakukubali sana lakn ndo ivyo daah 1
@
@bjzee1981منذ 4 سنواتMungu afanye haki hapa hata kama nikumchukua anae dhulumu
@
@nestor384منذ 4 سنواتUchaguzi wa ulioharibika kuliko chaguzi zote zilizowahi kuwako huko nyuma. 16
@
@valenakomba4453منذ 4 سنواتHata hiyo siasa YENYEWE ikiwa ndo hivi si bola ueche tuu. Maana unataka sana kujulikana. Ukifa ya vizuri SIFA zitakuja zenyewe, hutakiwi kulazimisha.
@
@afandehassan1منذ 4 سنواتPolice force keep law and order please 4
@
@augustinejoseph8957منذ 4 سنواتCcm ilikua ya zaman kwasasa ni cc wehu
@
@izooozist6819منذ 4 سنواتHii nchi tutaishi ngizani paka lini.utawala mbaya zaidi.
@
@ibrahimbakar622منذ 4 سنواتUchaguzi huu wa Tz ni ovyo kuliko chaguzi zote
@
@buyukubwa9713منذ 4 سنواتKuna nini hapo mbona sielewi maana kelele tu
@
@kiandangulwi3546منذ 4 سنواتTutende haki itapendeza otherwise sijui
@
@aminaprincess9873منذ 4 سنواتItv rudisha taarifa tuone kawe kuna nini
@
@paschalkasapa3249منذ 4 سنواتDuuh hata mtumishi wa Mungu anatumia ushindi wa bao la mkono hii inasikitisha san
@
@munaahmed8499منذ 4 سنواتHalima mdee shida sana kubali tu umestaafu ulichovuna bungen kinatosha ndgu yng
@
@erickmageta504منذ 4 سنواتNimemkumbuka sana Makonda.Makonda ni kiongozi ni Mtawala na mbunifu wa kutatua. 2
@
@abelianraphili5150منذ 4 سنواتKumbe ndo maana mtandao ulifungwa ili hii tusione
@
@wadeelegbogun3015منذ 4 سنواتMwaka huu bangi zenu zitawaaisha ni aibu sanaaa. 1
@joymsupagladysijeya8384منذ 4 سنواتLakini sio poa kunimbia halima kura nampenda uyu mama anajituma sana
@
@swahilientertainmentworld4266منذ 4 سنواتHakuna haja ya kupiga kura TZ imeharibika
@
@karanibonge5906منذ 4 سنواتLeo ndio mnaweka Hii Habari wakati uchaguzi umeshapata nyinyi waandishi hampo fear Kweli 1
@
@ericklibaba1198منذ 4 سنواتWapinzani wanaonewa Sana Tanzania kwa kiwango cha juu. 11
@
@jumajuxmaboneti7884منذ 4 سنواتTunaomb msiiuwe Watu Tena Nishapotez Kaka Angu Juz 2 Kwwny Huu Uchanguz Nyie mungu anawaona
@
@chescomolla5557منذ 4 سنواتEti mtumishi wa Mungu , Mungu gani anaebariki wizi wa wazi Kama huu , napata mashaka Sana na wakristo wanaoongozwa huyu kibaka. Nimeamini hata Yale yaliyokuwa id="hidden5" class="buttons"> yakizungumzwa juu ya ulaji wa kondoo Ni ya kweli. Duh askofu kwanini umejichafua hivi. ....وسعت
@
@mwanaidiharoun9491منذ 4 سنواتPole kapumzike mama kwa kweli tulikuchoka ila basis tuu mikocheni ujafanya lolote nenda bhaana bora kawe irudi chama tawala duu 1
@
@wisemangodfrey921منذ 4 سنواتHivi huwa wanaililiaga hii nchi au wanaliliaga nafasi zao na status
@
@esterrhobi2824منذ 4 سنواتUchochezi tu wakati hata kura hujapiga
@frankd1156منذ 4 سنواتUmaskini mbaya sana.hawa polis njaa msiwalaumu sana
@
@mussabulugu6319منذ 4 سنواتMnashabikia kitu hujaona ndo mnaanza kutengeneza drama kwamba wameiba kura kumbe ndo umeshindwa watu wamekuchoka huna hata maendeleo jimbon kaz kususa tu 1
@mzalendomzalendo2567منذ 4 سنواتAnajua hata shinda ndio maana analeta vurugu, 1
@
@guccijackson3055منذ 4 سنواتNchi hii nna watu wake Ngoja nitafute hela ni hame
@
@emmanuelkonki59منذ 4 سنواتmagufuli haki iko wapi cnhi inachafuka
@
@m.mmarckus6298منذ 4 سنواتJimbo la kawe kila mwaka nasubiri tu atakayepita ndombunge wangu.staki kumchukia mtu nawakat mm pia sijui km napendwa siasa pia siiwezi niko busy kupambania maisha yangu ....وسعت13
@
@mohamedmzeeassuufiyy1334منذ 4 سنواتMimi nimekuzwa na Ccm lkn Chaguzi hii imenitia kichefu chefu
@
@pastorjamesmajaliwa7843منذ 4 سنواتDaaaa serikali hiiiii Ndio maana mm siitaji kuwa mwenye chama chochote yanayo endelea ni upumbavu ambayo tujawai ona leo tunayaona
@
@wallaceigeoge7515منذ 4 سنواتItabaki story ukiona manyoya ujue kimeriwa
@
@karolikisaka8991منذ 4 سنواتWaliwaandaa viongozi wa dini kutufitini Huu ni uhuni Hakuna amani pasipo haki 23
@
@tztanzania2262منذ 4 سنواتTukio la kwanza uchaguzi serikali za mitaa Tukio la pili uchaguzi mkuu 2020 Hakuna chaguzi za ajabu kama hizi mbili zote ktk awamu ya ngosha
@
@bebebebe5677منذ 4 سنواتMi nataman nijue matokeo ya jimbo la kawe 1
@
@mzeejombi8047منذ 4 سنواتDah msilalamike wananchi huu ndk uchaguz huru na wahakki
@
@mariasalomemelchiorkaigaru1974منذ 4 سنواتHaya mambo ni Nchi zetu tu ndio yanatokea
@
@zainabumwagiroabdallamwagi97منذ 4 سنواتChaguo la wananchi limebadilishwa.tanzagiza
Related videos for Vuta nikuvute Halima Mdee na Polisi Kawe.:
Ila mimi nafikiri kwamba njia sahihi ilikuwa wananchi kugoma kupiga kura kama walihisi tu kunaudanganyifu id="hidden2" class="buttons"> umefanyika na kuingiza mabegi yenye kura ambazo hazikuwa halali. ....وسعت
Ngoja nitafute hela ni hame
Ndio maana mm siitaji kuwa mwenye chama chochote yanayo endelea ni upumbavu ambayo tujawai ona leo tunayaona
Huu ni uhuni
Hakuna amani pasipo haki 23
Tukio la pili uchaguzi mkuu 2020
Hakuna chaguzi za ajabu kama hizi mbili zote ktk awamu ya ngosha