Duration 5:28

Derick Ndonge - Unguruma Tena (Official Music Video)

17 483 watched
0
154
Published 2020/06/10

Yesu ametajwa kwenye Biblia kama Simba wa Kabila la Yuda shina la Daud.... Ufunuo wa Yohana 5:5 Kwakua Yeye ndiye aliyeshinda Kifo na Mauti hivyo akastahili kukifungua kile kitabu ..ni sifa kuu sana kwakua Astahili kupokea,Heshima na nguvu.. Yesu akiUnguruma maishani mwako amin mambo yana kaa sawa,Magonjwa,mateso,misiba,umasikini vinakimbia maana Sauti yake ni ya Utisho....mwite katika wimbo huu Aungurume palipopunguka kwako ili pakae sawa muite tu Twitter:Derick Ndonge Facebook:Derick Ndonge Instagram:derickndonge_officiall

Category

Show more

Comments - 48