Mbunge wa Hai ambaye pia Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe akihutubia wakati wa uzinduzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani Hai, wakati wa ziara ya kikazi ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mkoani Kilimanjaro Oktoba 29, 2012