Duration 4600

TAARIFA MUHIMU: Umiliki na usajili wa laini ya Tigo zaidi ya moja.

797 watched
0
6
Published 2020/07/21

Hii ni taarifa muhimu kwako ndugu mteja wetu wa Tigo. Fahamu kanuni za usajili wa laini ya simu zaidi ya moja. Washirikishe ndugu jamaa na marafiki kufuata mwongozo huu. Wasiliana na huduma kwa Wateja kwa taarifa zaidi.

Category

Show more

Comments - 0