Duration 2:2

Kocha mkuu wa stars atema cheche kabla ya kurejea kwa ligi

121 watched
0
4
Published 2020/05/18

Kocha mkuu wa Taifa stars mesema kabla ligi ijarudi inabidi TFF wawape muda wa kutosha makocha na wachezaji iliwaweze kua fiti kurudi kuendelea na ligi kuu baada ya Rais JPM Kutangaza jana anatarajia kurudisha shughuli za michezo hivi karibuni. Follow us on Instagram.com/nanenanemedia Facebook.com/pg/nanenanemedia

Category

Show more

Comments - 0