Duration 2:8

MAHAKAMA YAONDOA ZUIO LA UCHAGUZI TFF/HUKUMU KUTOLEWA KABLA YA KUPIGWA KURA

336 watched
0
0
Published 2021/07/16

MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam, imeiweka pembeni kesi ndogo namba 305, ya zuio la shughuli za uchaguzi TFF, na kutaka kuanza kusikilizwa kwa kesi ya msingi na kutolea maamuzi kabla ya tarehe ya uchaguizi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania. 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402), 🔘WhatsApp ( +255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Category

Show more

Comments - 1