"Natangaza rasmi kifo Cha Mh Maalim Seif Sharif Hamad, ambapo umauti ulimpata hospitali ya MUHIMBILI ambapo ndo alipopatwa na umauti,natangaza siku Saba za maombolezo nabendera itasimamishwa nusu mlingoti kwa hizo siku "Alisema Mh MWINYI Rais wa zanzibar