Duration 8:49

SIMBACHAWENE ATOA MAAGIZO HAYA KWA ASKARI MAGEREZA | Muungwana Tv

9 023 watched
0
45
Published 2020/02/29

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi hapa nchini kuacha kukamata ovyo watu na kusababisha kujaa kwa mahabusu katika Magereza mengi na kusababisha hasara kwani Magereza hayo hawazalishi chochote.

Category

Show more

Comments - 19