Duration 13:6

OR-TMSMIM ZANZIBAR

263 watched
0
4
Published 2021/12/16

Waziri wa nchi Afisi ya Rais Tawala za mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ mh Masoud Ali Mohamed, amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kufanya ziara katika maeneo wanayoishi wananchi kusikiliza matatizo yao na kuweza kuyapatia ufumbuzi.

Category

Show more

Comments - 1