Duration 43:52

KURASA ZA MWISHO : Yanga, Simba na Azam zatofautiana kuhusu maonesho ya Sabasaba

9 332 watched
0
58
Published 2020/07/04

Afisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli na wa Azam FC, Thabith Zakaria wametamba kufanya kazi nzuri kwa vilabu vyao kwa kuwa sehemu ya makampuni yanayoshiriki maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba huku Mkurugenzi wa uanachama wa Simba Hashim Mbaga akieleza sababu za wao kutoshiriki. Kwenye kipindi hiki pia Zakaria ameeleza msimamo wake kuhusu sakata lake na Msemaji wa Simba, haji Manara. Ungana na Philip Cyprian akiwa na jopo la wahariri Faustine, Mwani Nyangasa na Lasteck Alfred kupitia makubwa yaliyoshika kwenye magazeti wiki hii. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 14