Duration 20:44

SHEKHE KIPOZEO:RUKSA Kuangalia Mizigo Usipitilize/ DIAMOND/MZEE YUSUPH/ZINAA/Watu wananunua wanawake

270 721 watched
0
1.3 K
Published 2020/04/20

Katika kuelekea kipindi hichi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani Shekhe Kipozeo amezungumza na kusema vijana tupunguze zinaa.

Category

Show more

Comments - 323
  • @
    @princemansour6728منذ 4 سنوات Sheikh Kipozeo I respected him
    Always Our Sheikh you are talking about educated and wise truths
    We love your
    we love your presenceso much
    40
  • @
    @leilamehbub948منذ 4 سنوات My favourite sheikh I like his mawaidhas n examples he's real n very open mashAllah thanks 1
  • @
    @eddieross2581منذ 4 سنوات Wallahi Mimi nakupenda Sana Allah akuhidi,unaharibika ukubwani,usipoteze elmu yako sheikh wangu 2
  • @
    @wakilimwatondo9273منذ 4 سنوات I love your 'style' of presentation: appealing! Irresistable.! 1
  • @
    @user-gy8lk8te8dمنذ 4 سنوات Sheikh wewe una elimu na hekima ila kuna mambo fulani yafaa urekebishe,kwanza unapo kuwa na hawa wasanii huwaambii ukweli,nimeona video zako na hawa wasanii id="hidden2" class="buttons"> ila unapo hutubia una wa intertain,wambie ukweli wachague kusuka au kunyoa ila uondoe jukumu kukwa Allah,wambie nyimbi ni haramu hata maigizo hayo yao ni haram watu waenda uchi,wape ukweli huenda wakabadilika,kwanini unapoteza hiyo fursa,vile walivyo kuweka karibu jaribu kuwa vuta. ....وسعت 2
  • @
    @bellbell9294منذ 4 سنوات Maasha Allah sheikh kipozeo Allah akupe jannah firdaus jazaka Allahu khaira 7
  • @
    @burudani145منذ 4 سنوات Carry kumbe nawee unajuagah dawah leo utapata swawabu nying sana 23
  • @
    @jumason142منذ 4 سنوات Kijana mtangazajibmiongoni mwa watangazaji mungu akulinde naamini ukiendelea hivyo utafika mbali una maswali ya msingi kabisa sio I'll mradi mawwali id="hidden3" class="buttons"> ili ujaze mda Yani nakupa kredi zote ktk TV on line you are among the best ....وسعت 13
  • @
    @rukiamshihiri4911منذ 4 سنوات amiin shekhe dua yako iwe ya kupokelewa na ijibiwe lnshaallah 5
  • @
    @eddimalon6051منذ 4 سنوات Verry good Man Shekhe Kipozeo. Una busara sana.
  • @
    @dullydullahsenior756منذ 4 سنوات MashaaAllah Sheikh wng kweli leo nime subscribe kisa hiiii interview wallahi 6
  • @
    @zainabomer1833منذ 4 سنوات Napenda mawaidha yako shekhe kipozeo kwanza wapenda kutabasamu 10
  • @
    @jamilaomari2444منذ 4 سنوات Sheikh kipozeo Allah akuzidishie umri.
  • @
    @barakajuniarmgina3334منذ 4 سنوات nakukubali sana tena sana sheikh wangu.
  • @
    @zrazanzibarrespectiveacade9056منذ 4 سنوات Safi snaa sheikh kipozeo Ila lazima amana ihifadhiwe yn kwan ndo msingi
  • @
    @alihafidhali9589منذ 4 سنوات Ewe allah mwingi wa huruma kwa yalio mema ya rahman allahuma amin nakwayalio maovu ewe subhanallah uliemtakatifu tusameh ya allah hakuna kitu mfano wako id="hidden4" class="buttons"> rahim tuongoze kwa huruma zako mahala pema ya allah allahuma amin ya rabal 3alamin ....وسعت 2
  • @
    @kabaisaboy4761منذ 4 سنوات Xawa sheikh kipozeo jazak llahu aillah
  • @
    @ShazeenBabyمنذ 4 سنوات Shukran Sana wallah ALLAL akubariki Ameen 2
  • @
    @hamisisalmah8764منذ 4 سنوات Detoll yani shehe hapana mchezo na ku penda fisabillilah kenya mtuombee pia in sha Allah 2
  • @
    @truthspeaker2062منذ 4 سنوات Kuna watu washafahamu vibaya . Kuangalia mara moja maana yake ni pale ulipoona bila ya kukusudia sio kugandisha tena . Kuna tofauti baina ya kuona na kuangalia 1
  • @
    @fatmaalnabhani3609منذ 4 سنوات Nimekubaliana sheikh kwa watoto wa zinaa wanaharibu maisha ya watu wengine, mungu atuhifadhi na vizazi vyetu vijavyo, Amin 4
  • @
    @enjiidasnan2851منذ 4 سنوات Nakupenda sana sheikh wangu kwa ajili ya Allah Hapo kwenye kusafiri sheikh hapo wengi wana mtihani kweli.karibu kuskiliza Qur ani
  • @
    @aidankabuko4062منذ 4 سنوات kama usikia shekhe anasema mwanamke asiye na mzigo kwake kwa dharula sawa,gonga like 31
  • @
    @latifahmilkah4371منذ 4 سنوات Uzuri wa shehe wetu yeye usema ukweli hajui kuficha wala kubagua.haogopi ata.yeye uweka kila kitu wazi tena mafunzo yake huwa na vichekesho lakini ni kweli. .ndani ya Qatar doha mimi ni follower wa sheikh kipoozeo 6
  • @
    @mwannerajabu8688منذ 4 سنوات Yaan wewe mtangazaji hata kusema Amiin unashindwa 2
  • @
    @fahadsalim3742منذ 4 سنوات shekhee anakubali mzigo mimi ni nani nikatae 12
  • @
    @shamsaog2998منذ 4 سنوات Mtangazaji uwe unaangalia maswali ya kumuuliza shekhe , co maswala ya mizigo anavyojibu maswali hayo kila Mara yanaweza kumshushia heshma 17
  • @
    @davoo2555منذ 4 سنوات hata mm shekh kama ww tu napenda mizigoo. mizigo mizuriiii 2
  • @
    @Africaisnowمنذ 4 سنوات Kweli pande hizi hiki janga likewafanya wakumbuke mungu yuko Sio mchezo 2
  • @
    @anipaesleiman6135منذ 4 سنوات Shekh kipozeo mzee Yusuf bado hajarejea taarab anaimba kaswida wamemnukuu vibaya tuuu 1
  • @
    @fatmaalnabhani3609منذ 4 سنوات Jee wanaume wanaogawa amana ya wake zao itasemeka lini?
  • @
    @allykota3392منذ 4 سنوات Zalura iyo vp shekhe mbona unatuangusha 5
  • @
    @amrimzeru2913منذ 4 سنوات Mwanamke asie na mzigo labda kwa dharula 2
  • @
    @salehaliy7487منذ 4 سنوات Mzee yussuf adanganywa na pumnzi tuu huyo 3
  • @
    @yasinijuma6646منذ 4 سنوات Mfiraji nae hufirwa. Chagua maneno ya kuongea respect you're self 1
  • @
    @edwardmkweleleمنذ 4 سنوات Sasa mbona WaChina wenyewe hawatumii hayo mada ya mizigo 1
  • @
    @mussachicha9211منذ 4 سنوات Mm mwenyewe napenda mwanamke mwembamba 7
  • @
    @mdzainb3722منذ 4 سنوات Yani shekhe kipoozeo uponvizuri nakupenda san huwa haukosei unapotoa neno 4
  • @
    @alhaithamiy_منذ 4 سنوات SUBSCRIBE CHANNEL YANGU KUPATA NASHEED QASWEEDAH NA NASAHA TOFAUT.
    SHUKRAN
    9
  • @
    @bornvillagevlog4566منذ 4 سنوات This guy I doubt.he sings reggae behind kanzu 2
  • @
    @abisinaadili2074منذ 4 سنوات Sheh mi ninamzigo vipi nitafutie mchumba.
  • @
    @tumatuma6478منذ 4 سنوات subhanallah eti anapenda mwenye mzigo 3
  • @
    @mofetyendi691منذ 4 سنوات Sio wewe pekee ndg wengi tunalov tatizo ujasiria wakusema ndo shida ila hata peponi wenye nyama wanatusubiri pia enjoy and don't panic shekh
  • @
    @aimfetty1641منذ 4 سنوات shekh kasema kuna wanawake ukisafiri kidogo tu ana supply 2
  • @
    @mwaminiwivine2840منذ 4 سنوات Wapeda gono niwanani duniani weyesema mambomazurikamamutu mishi acha maswari ya siyo faa hakuna mwenye ana juwa corona iritoka wapi bira mungu wabinguni id="hidden8" class="buttons"> we achaogeya ogo mbona wanaume wa wazugujo warikufa wake wa ka baki nachaina wana wa danganyiya wanakurachura njomana waripata corona ....وسعت 2
  • @
    @yasinijuma6646منذ 4 سنوات Kwa non unapenda kuongelea matako au shoga
  • @
    @naamohamed9964منذ 4 سنوات Hapo kwenye mzigo mtangazaji kapapenda San mana hadi kacheka 2
  • @
    @angelinahogqvist7710منذ 4 سنوات Huyu baba amenigusa.ila viama upizani du wanarete sisiasa kwa haya
  • @
    @johsea122منذ 4 سنوات Mizigo,mizigo,mizigo, unaleweshe wanaume akili zao
  • @
    @mohdshebe5640منذ 4 سنوات Hata na mie shekhe kipozeo napenda mke awe na mzgo ndio Barbara.
  • @
    @mohdshebe5640منذ 4 سنوات Wanaume wote wanapenda mizigo akili hawana kwa mizigo figa.
  • @
    @hamadmussa8402منذ 4 سنوات Shekh wangu umekosea hapo kusema watoto wa nje ya ndo wanaleta vurugu ndani ya nchi. Kwani mimi sikutaka nizaliwe hivyo ili nilete vurugu katika nchi. Ila wazee wetu ndio wenje hatia.. Lait wasingefanja wao..
  • @
    @amihogatai8432منذ 4 سنوات hapo vipi kuhusu umbali? futi sita kati ya mtu na mtu? shehe kabolonga kidogo hapo. marekani haijapata uhuru miaka 400 iloyopita.
  • @
    @doctorpheisaltv6266منذ 4 سنوات Ajabu sana atimae dawa ya bawasili imepatikana na unaweza kujitibu  mwenyewe bila kutumia pesa  bonyeza hapa 2
  • @
    @user-gy8lk8te8dمنذ 4 سنوات Sheikh hapo kwakuangalia,sio mtu angalie maramoja,hafai kuangalia hata maramoja,ila kama ameona kwa bahati mbaya ndio hamna shida na hafai kurudisha nadwara yake
  • @
    @badbeats5637منذ 4 سنوات Backward notions. . Nacheka sema its sad. 1