Duration 25:33

MalkiaWaNguvu2021 Wanawake Waliofanikiwa Kufanya Makubwa kwa Mwaka 2021

253 watched
0
3
Published 2021/04/28

Usawa wa kijinsia kwenye shughuli za #MadeInTanzania umeshika kasi baada ya malkia wengi wanguvu kuingia ulingoni kuhakikisha Tanzania inazalisha bidhaa zake. Kwenye MadeInTanzania wiki hii tutamulika simulizi za malkia wanguvu walioingia kwenye ulingo wa MadeInTanzania na namna walivyofanikiwa kuajiri watu wengi kwenye viwanda vyao.

Category

Show more

Comments - 0