Duration 5:26

WEWE NI MKUU

14 256 watched
0
178
Published 2019/06/07

Bwana wa mabwana Mungu wa miungu Hakuna kama wewe popote Umeinuliwa juu sana Mambo yako ni makuu Hakuna kama wewe popote Naliinua jina lako nikisema wewe ni mkuu Ninalisifu jina lako nikisema wewe ni mkuu Wewe ni mkuu Hakuna kama we Wewe ni mkuu tunakusifu we

Category

Show more

Comments - 20