Duration 9:22

Rais Samia: Tuna wagonjwa zaidi ya 100 wenye Corona, Chanjo kuwa Hiari

356 watched
0
1
Published 2021/06/28

RAIS SAMIA: TUNA WAGONJWA ZAIDI YA 100 WA COVID19 - Rais Samia amesema wimbi la tatu la #COVID19 limeipiga Tanzania kuliko wimbi la pili na la kwanza - Hadi hivi sasa kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa #COVID19 ambapo zaidi ya 70 kati yao wanatumia mitungi ya gesi kupumua Rais Samia: Tanzania tumeingia kwenye #COVAX community Wataalamu wetu wanafanyia kazi Chanjo ipi inafaa kwa watanzania Kuna mashirika mengi wamejitokeza kutaka kusaidia watanzania lakini lazima wataalamu wetu ndio watoe ushauri kitaalam TANZANIA IMEJIUNGA MPANGO WA COVAX, CHANJO KUWA HIYARI! Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania imejiunga na mpango wa chanjo wa COVAX Juni mwaka huu - Ameongeza kuwa chanjo itakuwa ya hiyari ili kuwapa nafasi Wananchi kuchagua kinachowafaa #SamiaSuluhu

Category

Show more

Comments - 1