Duration 2:18

Mataifa zaidi ya 114 yaathirika na virusi vya corona

39 723 watched
0
99
Published 2020/03/13

Na katika rubaa za kimataifa, virusi vya corona vinaendelea kuzua tumbo joto kisa cha hivi karibuni kikiripotiwa katika nchi jirani ya ethiopia. Na kama kadzo gunga anavyotuarifu, kufikia sasa visa zaidi ya 139,000 vimethibitishwa kote ulimwenguni.

Category

Show more

Comments - 8