Duration 2:16

POLISI DSM WASEMA ASKOFU MWINGIRA APATIKANE HARAKA JESHI HALITOSITA KUMKAMATA NA KUMHOJI YEYOTE

63 840 watched
0
279
Published 2021/12/27

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam limeagiza ndani ya saa 24 kuanza kuhojiwa kwa Askofu wa kanisa la Efatha Josephat Elias Mwingira juu ya tuhuma mbalimbali alizozitoa dhidi ya Serikali ikiwemo njama za Maofisa wa Serikali kutaka kumuua.

Category

Show more

Comments - 165