Duration 24:00

Simba 1-0 Namungo | Highlights | NBC Premier League

423 430 watched
0
1.2 K
Published 2021/11/03

Goli la dakika ya mwisho ya mchezo kutoka kwa Medie Kagere limeipa Simba pointi tatu muhimu katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliokuwa mgumu, Namungo pia walipata pigo baada ya kiungo wake Abdulaziz Makame Kitanta kutolewa nje kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kumchezea madhambi Shomary Kapombe. Tazama ilivyokuwa. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 232