Duration 4:41

Jinsi ya kutengeneza juisi ya maembe na tangawizi tamu sana na nzuri kwa afya

79 683 watched
0
1 K
Published 2019/05/24

Leo ninawaletea utengenezaji wa juice ya maembe na tangawizi. Kwa recipe hii unahitaji: maembe mawili mabivu vijiko vinne vikubwa juice ya tangawizi vjk 3 vikubwa sukari vikombe viwili na nusu maji Today's recipe is mango ginger juice. For this recipe you will need: Two ripe mangoes two and a half cups water 3 tbsp sugar 4 tbsp ginger juice

Category

Show more

Comments - 38