Duration 3:41

CABBAGE NA FAIDA ZAKE KITIBA

4 841 watched
0
40
Published 2019/03/29

Cabbage ni mboga ya majani faida zake ni nyingi tu hukinga na huondoa saratani , vidoda vya tombo , cholestrol nk . Juice ya cabbage ni tiba mwilini saga ongeza maji kidogo kamua upate glass nzima na unywe mara moja .

Category

Show more

Comments - 6