Duration 5:34

TEREMKA BWANA - KWAYA YA SHIRIKISHO KIWANJA CHA NDEGE - DODOMA

1 356 watched
0
14
Published 2021/12/19

Teremka Bwana Teremka { Teremka Bwana teremka, Teremka toka mawinguni, teremka Toka mawinguni mpaka duniani } *2 Na tazama wanao wanavyokuimbia *2 Wafurahi kwa ajili ya utukufu wako 1. Shuka toka mbinguni, tazama makanisani Watu wote wanakusifu na kusema 2. Shuka toka mbinguni, tazama na misituni Ndege wote wanakusifu na kusema 3. Shuka toka mbinguni, tazama huko porini Wanyama wote wakusifu na kusema Karibu utangaze nasi, wasiliana nasi kwa simu nama +255 762 380376 au 0677 071 019

Category

Show more

Comments - 2