Duration 13:36

SoShoFitness SE01 EP01: AEROBICS | | MAZOEZI YA KUNYOOSHA VIUNGO - UMUHIMU WAKE | | BILA KIFAA CHOCHOTE

22 971 watched
0
118
Published 2020/12/26

#SoShoFitness #MazoeziYA #KunyooshaViungo #MazoeziKwaAfya #BilaKifaaChochote #SoShoTV -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- What'sApp Group Link: https://chat.whatsapp.com/Cn1E63IHbgG8nVjVC23peA SoShoFitness Episode 18: ABS WORKOUT, BELLYFAT BURNING --- /watch/00UheEooz6Foh SoShoFitness Episode 18: PUNGUZA TUMBO --- /watch/00UheEooz6Foh SoShoFitness EPISODE 17: HIIT CARDIO, FAT BURNING --- /watch/4TZE5OYseA8sE SoShoFitness EPISODE 17: CHOMA MAFUTA, PUNGUZA MWILI --- /watch/4TZE5OYseA8sE -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- Karibu katika sehemu ya kwanza (Episode I) ya msimu wa kwanza (Season I) wa kipindi cha SoShoFitness. "Unapoanza mazoezi siku zote lazima uanze na jinsi ya kunyoosha viungo vyako, tutaanza na hip rotation........! Unaweza ukafanya nyumbani bila kuwa na kifaa cha aina yoyote ile.....!" Ni maneno ya kitaalam kutoka kwa mwelekezaji na mkufunzi mbobezi wa mazoezi ya viungo na mwili, Mkubwa Hamidu, katika sehemu ya kwanza ya kipindi kipya kabisa cha mazoezi ya mwili kinachoitwa "SoShoFitness" kitakachokuwa kinarushwa kila wiki kwenye channel hii "SoShoTV". Madhumuni ya kipindi cha "SoShoFitness" ni kujenga uelewa kwa jamii na kuifahamisha umuhimu wa mazoezi ya mwili katika maisha ya kila siku. Ungana nasi ili uendelee kufaidika na mfululizo wa vipindi bora vya mazoezi vya kila wiki kwa ajili ya kujenga afya ya mwili wako. "SoShoFitness - Mazoezi kwa afya". Producer: Khalis 2K Instructor/Trainer: Mkubwa Hamidu Director: Dax Vigoma Created by: Khalis 2K/Mkubwa Hamidu Contacts: facebook: Khalis Komba, Mkubwa Hamidu whatsaap: +255764165500, +255748742474 instagram: soshotv1 What'sApp Group Link: https://chat.whatsapp.com/Cn1E63IHbgG8nVjVC23peA Bonyeza link hapo juu kwa kujiunga moja kwa moja na group letu la What'sApp -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- Please; Subscribe, Like, Share and Comment #SoShoFitness #MazoeziYA #KunyooshaViungo #MazoeziKwaAfya #BilaKifaaChochote #SoShoTV

Category

Show more

Comments - 18