Duration 3:52

MBASHA AJIGALAGAZA AKIMLILIA RAIS | ASEMA NI PENGO KUBWA SANA

963 watched
0
9
Published 2020/08/10

Kutokana na kifo cha rais wa Tamufo Dr. Donald Kisanga, ambaye pia alikuwa muimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania, rafiki yake wa karibu sana Emmanuel Mbasha ameandika maneno mazito sana katika ukurasa wake wa instagram pamoja na waimbaji wengine wa injili. Karibu utazame walichokiandika. #TAMUFO #WASANII TANZANIA #GOSPEL #TANZIA

Category

Show more

Comments - 1