Duration 15:23

MAHAFALI YA 4 YA VYUO VYA KIMATAIFA VYA CORNERSTONE NA HHWBC YAFANA UDOM

64 watched
0
0
Published 2021/11/29

Mahafali ya 4 ya vyuo vikuu vya Kimataifa vya Cornerstone na HHWBC vya Marekani yamefana ambapo Watanzania wanaosoma kwa njia ya mtandao katika vyuo hivyo wametunukiwa Diploma, Digrii ya Awali, Digrii ya Umahiri, Digrii ya Udaktari wa Falsafa na Digrii ya Udaktari wa Heshima. Aliyekuwa anawatunuku ni Mkuu wa Mafunzo wa vyuo hivyo, Profesa Rejoyce Ndalima katika hafla iliyofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Novemba 27, 2021..

Category

Show more

Comments - 0