#NTVJioni #NTVNews #NTVKenya
Familia moja kijijini Kithangathini, eneo bunge la Kathiani kaunti ya Machakos inalilia haki baada ya mwana wao wa miezi minane kukatwa mkono kutokana na kile kinadaiwa ni utepetevu katika hospitali ya rufaa ya Machakos.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya