Duration 11:49

KISHIMBA avunja wabunge mbavu kwa hoja zake: Trafiki wahamishiwe hospitalini mtu akikosa dawa aende

220 679 watched
0
833
Published 2021/04/12

Category

Show more

Comments - 398
  • @
    @robertchuma6408منذ 3 سنوات Aisee Kishimba ni Kichwa cha Ukweli maana anatoa hoja na mbadala wake. He is Real Genius Professor thanks so much Professor Kishimba 8
  • @
    @andrewvedastus6958منذ 3 سنوات You are a genius mr Kishimba, and i think you should be granted an honour to be a professor, according to your big iq! congrats. 21
  • @
    @GaudenceRaphaelمنذ 3 سنوات Pale Mbunge anapoongea kama Raisi wa Nchi au Waziri Mkuu.Gonga like twende mbele 63
  • @
    @pascalmstaarabu4372منذ 3 سنوات Wasukuma wana akili sana haijalishi wamesoma au hawajaenda darasani wanaokubaliana na Mimi wagonge like 34
  • @
    @nassoroabdallah3670منذ 3 سنوات Mh Rais wangu huyu mbunge anaweza kuwa mshauri nzuri Sana mpe nafasi ktk ofisi yako Kama itakupendeza inshaallah. 49
  • @
    @raymondjimmy2712منذ 3 سنوات Huyu Mzee ni wa kuangalia vizuri Point zake zipo strong 27
  • @
    @manenoibrahim980منذ 3 سنوات Yani unaweza kufikiri huyu mzee ni mwananchi wa kawaida toka kijijini kaja bungeni kuwakilisha wanyonge wenzie, big up sana kisimba 11
  • @
    @fadhiliswidhun9779منذ 3 سنوات Kwa utaratbu umeongea vzur sana mh mb kishimbaa afya ndyo usalamaa wetu 11
  • @
    @emmanueldutuleo3992منذ 3 سنوات Du nakuunga mkono professer kishimba uko vizuri kabisa penda sana wewe 10
  • @
    @benatusrupili9521منذ 3 سنوات Umetisha sana mbunge 2025 tunakuhitaji ugombee urais 3
  • @
    @jericomgaya8282منذ 3 سنوات Mzee wangu Kishimba namkubali kitambo sana na hajawahi kuniangusha kwa kweli! Tangu aseme mtoto umemsomesha halafu baada ya kupata kazi anaanza kukukwepa id="hidden1" class="buttons"> kwepa anafaa ashitakiwe! Na ikiwezekana tubadilishe utaratibu tukiwalipia ada wasaini mikataba ya kulipa madeni ya ada baada ya kumaliza chuo!! Hongera sana Mhe. Kishimba kwa strong points unazozitoa Bungeni ....وسعت 5
  • @
    @melasdekas825منذ 3 سنوات Hongera sana Msukuma mwenye busara. Wewe ndiye mbunge wetu mwenye kutoa taswira nzuri. 3
  • @
    @issamohammed8298منذ 3 سنوات Mh,Kishimba huo niukweli kabisa tunaenda Hospital unaambiwa Hakuna Netwek Mara unaambiwa Kifurushi hichi hakiwezi Kukupa Huduma Hongera sana Mh,Kishimba 5
  • @
    @nzellahhamis1504منذ 3 سنوات Lamadar Hotel hujazijenga kwa bahati mbaya. Genious sanaaaaaa. Nahisi mtu smart sana aliye karibu na wewe ni KATIBU WAKO WA MBUNGE. 5
  • @
    @loishiyesamwel1374منذ 3 سنوات Kishimba upo vizuri sana, ninakukumbuka sana kuhusu swala la Elimu ya Taifa letu inavyowachelewesha vijana wetu.
    Haswa elimu ya juu.
    8
  • @
    @deusijohn3863منذ 3 سنوات Asante sana hapo kwenye matibabu umegusa sanaaaaa, serikali ichukue hatua 6
  • @
    @robertnicodemas5853منذ 3 سنوات Tukipata wabunge 50 tu.kama kishimbi,Hakika matatizo madogomadogo inayotukabili sisi wananchi wakipato cha chini yatapungua.asante sana mh 9
  • @
    @AbdulAbdul-pr9qeمنذ 3 سنوات moja ya wabunge makini sana, ni swala ambalo hata mie huku uswazi nililiongelea sana masikini tunakufa kwa kukosa 50 elfu tu dah 13
  • @
    @ashamaneno6639منذ 3 سنوات I wish akuna mbunge shupavu kama uyu mungu akulinde ndugu yangu kila oja zako zipo vizuri saaaaaana napenda sana kusikiliza kaka. 2
  • @
    @officialsteeve2384منذ 3 سنوات Kweli elimu sio kuingia darasani tu, we mzee ni genius 13
  • @
    @princejosephat8316منذ 3 سنوات Hakika wewe ni mbuge wa pekee unayejua maisha ya watanzania na adha tunayoipata sisi wananchi wenu,hawa ndo wabunge wazalendo wanaofuatilia maisha ya kila id="hidden3" class="buttons"> siku ya wananchi wao.safii sanaaa.naktakia maisha marefu ili ufundishe wengi ktk kujenga hoja hapo mjengoni. ....وسعت 10
  • @
    @elibarikielikana1824منذ 3 سنوات Genius kama hawa wachache umefikiria parefu sana. Serikali iangalie kwa macho mawili kabisa 4
  • @
    @edwardmaumau9455منذ 3 سنوات Ubarikiwe sana mheshimiwa kishimba kwa suala la matibabu bure 3
  • @
    @ezrashukuru7511منذ 3 سنوات Hallelujah.namtukuza Yesu Kristo kwaajili yako Mbunge wa Taifa 7
  • @
    @happynesskimt6249منذ 3 سنوات Asante sana kwa kuliona Hilo mana huku yako mengi nyuma ya pazia, traffic waamishiwe hospital japo ila ni kweli kabisa ndio maana wengine hatuoni manufaa ya bima 7
  • @
    @lyimohilda7880منذ 3 سنوات Umewatetea vizuri mno wanyonge kwa busara na hisia, hata Mungu amefurahi. 15
  • @
    @matindembaratani6221منذ 3 سنوات Huyo mbunge akili nyingi Sanaa namfatilia Sana uko vnzr 6
  • @
    @johnleonard4835منذ 3 سنوات Mzee big up kwa mawazo yako maana daaah sio kwa kuwaza parefu na nimeamini utu uzima dawa 5
  • @
    @benderamateso8244منذ 3 سنوات My best Member of Parliament ever, so genius - hoja za msingi zinazogusa, kahama mnaye mbunge 1
  • @
    @mursalsaid3327منذ 3 سنوات Umeongea point , miaka iliyopita matibabu yalikua bure ,ukiandikiwa doze zote ulikuwa unapata ,hata upasuaji ulikuwa bure , lakini Sasa hivi imekuwa shida Sana , 10
  • @
    @shabanfelix4273منذ 3 سنوات Yani wakati mwingine ccm kuna wambunge wenye akili timamu nauzalendo toka nianze kusikiliza bunge uyu mzee niwakwanza kusema maisha halisi yamtanzania 5
  • @
    @jaykimoga1888منذ 3 سنوات Đâh! Tunawataka hawa darasa la saba wenye busara na akili kama zote 7
  • @
    @julianasanga9548منذ 3 سنوات Mbunge wewe upo vizuri sana unajuwa tabu zetu huku chini tunateseka sana Mungu akutunze hakika wananchi wako wanajivunia wewe 2
  • @
    @pascarmwatosya6815منذ 3 سنوات Safi Sana kiulahisi utaona hajaongea pointi,Ila huyu mbunge Nimekuelewa Sana Hongera sana mbunge kwa kuwa umetambua umetumwa nini na Mbos wako wabunge id="hidden7" class="buttons"> Kama awa ndio wanaotakiwa bungen huyu atakuwa hakupita bila kupingwa,Hongera Tena mbunge ....وسعت 2
  • @
    @alphoncejuma9652منذ 3 سنوات Mheshimiwa mbunge hongera sana kwa hoja zako msingi 1
  • @
    @johnwoshi3459منذ 3 سنوات Umewalecture mpaka Basi hongera mweshimiwa JK 3
  • @
    @eliyahubi1887منذ 3 سنوات Uko vizuri.sana kishimba. Wabunge mwengine. Ni maslahi yao tu. Afya tu ndo. Mtaji wa Maskini. 1
  • @
    @elizawamainge8623منذ 3 سنوات Umenikosha sana.wa vijijini tupo na wewe kwa swala hilo 4
  • @
    @salmamgeta1599منذ 3 سنوات Nakupenda sana sichoki kuku sikiliza baba 6
  • @
    @mariachombo7316منذ 3 سنوات Yani wewe ni mbunge mmoja, katika wote, nakukubali sana , nitakuombea aisee uishi milele tutetee baba 5
  • @
    @khalidtv6200منذ 3 سنوات "WANAIPITA NYAMA HAPO WANAFUATA MCHICHA PALE TENA BILA MALALAMISHI"(mwisho wa kunukuu) 9
  • @
    @mpongomwenda1599منذ 3 سنوات Nimetokea kukupenda sana lillaah kiongozi wetu. 1
  • @
    @barakanyamafu5937منذ 3 سنوات Kweli watani nzangu wasukuma mnaakilisana 2
  • @
    @stevenleonce9416منذ 3 سنوات Yaan we mbuge mungu akulinde kishimba kweli ww ni kati y wabunge bora sana ubarikiwe sana
  • @
    @hadijasaid9463منذ 3 سنوات Kweli mbunge wetu mwema. Wazee wanakufa kila saa hasa tinde hakuna dawa kabisa 3
  • @
    @babayao3791منذ 3 سنوات Una akili kubwa sana @ mh kishimba.✍ 7
  • @
    @joshuajuma2977منذ 3 سنوات Hakika mungu akulinde xana angalau umuelekeze mbuge wa busanda jix yakutetea wanainch wake kuliko kufuata. Pesa
  • @
    @shabaniamadi4138منذ 3 سنوات Kishimba you're Very smart God bless you
  • @
    @mtoto_wa_Mfalme12منذ 3 سنوات Nchi Duniani zinafilisika kwa vitu viwili;
    1. Vita
    2. Ujenzi
    NOTED
    13
  • @
    @doiabel3793منذ 3 سنوات Wakati ninaishi kijijin na babu yangu tulikua tukiumwa anasema mkamnunulie mgonjwa sukari akorogewe uji, kweli maisha yanabadirika sana,, kishimba ngosha wane wawiza sana ngosha. 5
  • @
    @hilarykawa1880منذ 3 سنوات Hii ndio maana halisi ya uwakilishi . yani kishimba ndio man of the match kwenye bunge la Tanzania tangu kuzaliwa kwake 3