Duration 29:42

Sio Vizuri Kuingilia Mambo Ya Watu, Ila Huyu Mama Amejikosea Mwenyewe Jimmy Mafufu.

5 146 watched
0
49
Published 2021/04/29

Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : https://web.facebook.com/gospeltvshow/ Instagram : https://www.instagram.com/chomozanews/ YouTube : /c/ChomozaTV #ChomozaTv#2021

Category

Show more

Comments - 29
  • @
    @zawadichalale4047منذ 3 سنوات Pamoja na madhaifu yako ila Kwa upande wngu nimejifunza kitu kikubwa sana nitamheshimu mume wangu sana 3
  • @
    @alexjohnananiaمنذ 3 سنوات Jimmy(Mtangazaji) you soooooo wise.Ndani yako Kuna hekima ndani yako. 2
  • @
    @maglansangenoiمنذ 3 سنوات Mtangazaji kwa kweli big up sana kwako.una maswali mazuri la utulivu mzuri sana kwenye kipindi. nafurahishwa sana na namna unavyomudu kipindi chako.
  • @
    @theresiakapinga5238منذ 3 سنوات Uliyemchokoza kaja! Kupitia maisha yako ipo shule.
  • @
    @bosslilyg4390منذ 3 سنوات Huyu kaka anaonekana mtata sana, mke wake ana shida kwakweli 2
  • @
    @maxjofrey8298منذ 3 سنوات Kiukweli brother Jimmy nimejifunza mengi Sana kwako na nnahamini naweza kujifunz zaidi brother Yani unaongea point Sana brother
  • @
    @joycemashikolo9096منذ 3 سنوات Hilo swari la utata!Moja kwa Moja tu huyu kaka ongea yake tu ni mtata Mkubwa sn .ni zaidi ya coronambishiiiiii 1
  • @
    @peaceisrael8158منذ 3 سنوات Mtangazaji hapa umeonyesha busara ya hali ya juu sana .Mungu akubariki sana. Huyu mke ana moyo pia.. cant imagine anavyohalalisha tabia za ajabu @wanawaake wa bibilia nonsense
  • @
    @browrinah9357منذ 3 سنوات Ukweli unauma ndo maana brother Jimmy utmwona kama vitu anavyo ongea haeleweki au nimkali. 1
  • @
    @frednzunda8040منذ 3 سنوات Inawezekana nimechelewa kujibu ila nimejifunza kitu kikubwa kwenu watumishi.
    Moyo mzuri ni ule usioficha au tunza mabaya ingawa ukiwa na moyo huu utaonekana vingine maana haki siku zote huonekana kama udikiteta.
    1
  • @
    @zaburi2386منذ 3 سنوات Hyu jamaaa jimmy mafufu anajua kujieleza ni kipaji kikubwa
  • @
    @dastankalinga442منذ 3 سنوات Sikujua kabisa mafufu kaokoka? kweli Mungu ni wa maajabu
  • @
    @apostleoscarnyakungachuma3510منذ 3 سنوات VYANGUDOA AHAHAHA
    ASANTE !!!! TUPONEEEE
  • @
    @dismassiragoye7371منذ 3 سنوات Ni kweli tatizo ni kutokuwa Na akinamama wa Biblia
  • @
    @lizzybahati9833منذ 3 سنوات Kama mwanaume anamaneno ya jeuri je acheni kuwaonea wanawake Bwana
  • @
    @alamnyopo9739منذ 3 سنوات Jimmy mafufu huyo mwanamke unayemtaka hayupo dunian.labda umuumbe wa kwako. 3
  • @
    @neemajohn5811منذ 3 سنوات Upendo au hesabu mabaya, upendo uvumilia, hakuna mwanank utakae nae mdogo wangu, nina miaka 26 ya ndoa, na kumbuka mwanake nae ana moyo wa maumivu, hujamuumba wewe, bado una safar ndefu kama hutobadili, 1
  • @
    @alexjohnananiaمنذ 3 سنوات Jimmy,huyu Jimmy mwenzako anaongea ukweli.Naomba Sana unisikilize,huyu ana asili ya ukweli.Hana UNAFIKI ndani yake.