Duration 3:15

Tundu Lissu, Tuna mfumo wa uchaguzi ambao haujawahi kua huru, kwasababu ya shindikizo la Magufuli

Published 2020/09/09

Tundu Lissu, Tuna mfumo wa uchaguzi ambao haujawahi kuwa huru, kwa Sababu ya shindikizo la Magufuli Mgombea urais kupitia chama cha upinzani cha CHADEMA nchini Tanzania anasema, ''Tuna mfumo wa uchaguzi ambao haujawahi kuwa huru, kwa Sababu ya shindikizo la rais wa CCM rais wa nchi, Magufuli. Mh. Lissu alisema hayo, alipozungumza na wahariri wa vyombo vya habari vya Tanzania, siku ya Jumatano Sept 9, 2020 Jijini Dar es Salaam, Tanzania /watch/eb.utuoy=erutaef&I_xVM4Hu7kAuu

Category

Show more

Comments - 5