Duration 13:58

BASHE AWAKA KUCHEPUSHWA KWA MABILIONI YA FEDHA ZA UNUNUZI WA MBOLEA, VIATILIFU

19 179 watched
0
113
Published 2019/09/23

NAIBU Waziri wa Kilimo, Hussein ameagiza wakaguzi kutoka hazina kuchunguza viongozi wote waliobadilisha matumizi ya Sh10 bilioni zilizoelekezwa kwenda Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) kwa ajili ya kununua mbole na viatilifu na badala yake fedha hizo kupelekwa sehemu tofauti kinyume na sheria.

Category

Show more

Comments - 68
  • @
    @antoinea.katembo5326منذ 5 سنوات Huyo Bashe H. Huwaga anajielewa sana! Much love from States brother Bashe H. 4
  • @
    @harounali9057منذ 5 سنوات Hongera muheshimiwa Bashe nipo pamoja nawe Allaah akuhifadhi. 1
  • @
    @oswardmwambete775منذ 5 سنوات Bashe Walikuchelewesha sana kuwa Wazili watanzania tunakuelewa sana chapa kazi baba chi isonge mbele Imechelewa sana lkn itafika tu 5
  • @
    @anafisuleimani7083منذ 5 سنوات Nakupenda sana naibu waziri wa tasnia hii akuamini sana 4
  • @
    @chachamarwa7299منذ 5 سنوات Mh.Rais tunakuomba umpe mh Bashe uwaziri kamili na siyo unaibu waziri huyu jamaa atakufurahisha pia atatufurahisha watanzania asante 3
  • @
    @feisalsalum1258منذ 5 سنوات Mungu akujalie maisha mema akupe maisha marefu,ila utabili wangu hapo baadae uwazir kamili utaupata kabisa tena huenda ukawa mkuu.inshaalah 1
  • @
    @mjige9088منذ 5 سنوات Yes - kijana chapa kazi tu Mr Hapa kazi tu anakuona vizuri sana hapo ikulu Magu the bulldozer president of Africa 1
  • @
    @mohammedmdangwe2056منذ 5 سنوات bashe pambana wanachi tunakukubali kamata wote 14
  • @
    @ngurelore6031منذ 5 سنوات Uwaziri unakuja mwishoe presdent, may God be with you 5
  • @
    @onesmohaule2853منذ 5 سنوات eeehh mambo yananoga bajuta kachomoa betri 5
  • @
    @yahayamkone4040منذ 5 سنوات Najiskia fahari Sana ninapoona mtu anafanya kazi za kuipeleka nchi mbele Kama Bashe nakukubali Sana baba 8
  • @
    @johnmbugani6532منذ 5 سنوات Nchi hii tunaihujumu mpaka shetani anatuogopa, yaani kuna uwezekano ukachanganyikiwa jinsi watumishi wengi wa serikali wanavyofanya mambo. Huwezi kuamini id="hidden2" class="buttons"> hadi leo hii bado kuna watumishi wanafanya mambo haya. Hatua kali zifuatwe bila kuchelewa ....وسعت 5
  • @
    @ramadhanisuru1822منذ 5 سنوات Nakwambiya kuhuyu chalii mbona mtaelewatu 6
  • @
    @jabirikilagilile9799منذ 5 سنوات Bashe uwe waziri kamili kwani hayo unayoyasema yanashabiiana kabisa na Rais wetu inaonesha una uchungu na wakuli BAJUTA na hao viongozi wa bodi ya korosho id="hidden3" class="buttons"> wanapiga pesa kama walielekezwa wampe wakala wa serikali kwa nini wampe BAJUTA hayo mambo ya 10% piga kazi bashe waziri Mkuu ajae ....وسعت 2
  • @
    @fauahamisi1097منذ 5 سنوات Hapo bodi ya korosho hapo kuna balaa paangalie sana kuna balaa kubwa hapo mkuu utajionea 3
  • @
    @gilberthndakidemi7358منذ 5 سنوات baba nakuelewa bajuta hakuna kitu anachozalisha kwa kiwango kinachotakiwa sisi watumiaji wa bidhaa as final consumer anachozalisha totally kiko chini ya id="hidden4" class="buttons"> kiwango na TPA ichunguzwe inaonyesha kuwa kuna watu baadhi wanaubia nao na ndo maana anazalisha pumba na hawamsemi ....وسعت 4
  • @
    @abdillahmbinga7050منذ 5 سنوات Yaaaa ndio maana nikasema tunakuitaji sana. 4
  • @
    @gregorychogelo2013منذ 5 سنوات Uhuni wa hali ya juu!!
    Hiyo Kampuni ya Bajuta na Cartel yake ni wa kuchukilia hatua kali iwe fundisho kwa washenzi wote wanaohujumu taifa.
    2
  • @
    @margarethsolomon9823منذ 5 سنوات Sinema ya kihindi ikaanza. Wamezoea kupiga changa la mbolea hiyo ingeharibika. BAJUTA rudisha 4.5bl. 5
  • @
    @hamishamis9905منذ 5 سنوات Magufuli uko wapi MPE uwaziri huyu jamaa ni noma sanaaaa
  • @
    @othmanshahib1115منذ 5 سنوات Upigaji wa hela za serikali siyo ishu tena ibaki histori tu 3
  • @
    @gregorychogelo2013منذ 5 سنوات Haya ndio mambo yanatakiwa.!
    Nyoosha wapuuzi wote.
    2
  • @
    @peterkihongosi1966منذ 5 سنوات Sikumkulima akisaidiwa maendeleo yataonekana 4
  • @
    @patricknyiti5303منذ 5 سنوات BAJUTA wanajuta sasa ..Angalieni na majina ya kuzipa kampuni jamani .Sawa na umwite mtoto Majuto 1
  • @
    @johnmbugani6532منذ 5 سنوات Siyo TPRI na TFRA waitwe bali wao wanawajibika kwa mujibu wa Sheria. Na hao wote walibadilisha matumizi kinyume na maelekezo ya serikali wafilisiwe na id="hidden5" class="buttons"> kufungwa hakuna mijadala ya kiboya tena. Huku kuleana na hujuma imetosha sasa ....وسعت 3
  • @
    @rahmamazee2858منذ 5 سنوات nimekupata wamezoea hao mweshimiwa wanyooshe walikua wamipinda 1
  • @
    @nyerere1259منذ 5 سنوات Wazee ela ya serikali hii ni chungu. Msaidie Kazi JPM baba unaendana nae. 2
  • @
    @ahmadmasunda8198منذ 5 سنوات WALIBADILISHA MATUMIZI ILI WAPATE 20 PERCENT 2
  • @
    @gabrielbahat9107منذ 5 سنوات Tutafika kwa mwendo huu! Watu wnafanya mambo ya ajabu! 2
  • @
    @mwalimumbukuzi7273منذ 5 سنوات usijetumiwa ki memo kwamba unaingilia anga za wakuu!!! ila mwenyeezimungu akulinde. 4
  • @
    @rajabungatanda3749منذ 5 سنوات Piga kazi babaaa
    Hakuna kusinzia mpaka wakujue kama wewe ni jembe
    11
  • @
    @deogratiusmaruma2652منذ 5 سنوات wewe unafaa kuwa waziri kabisa wa kilimo unaibu waziri haukufai, we ni jembee 9
  • @
    @godfreylyimo4177منذ 5 سنوات Bashe sio tu ana uwezo wa akili lakini ana uzoefu wa biashara. Watendaji kumbukeni hii sentence "I mean business" sijui maana yake lkn nadhani huyu ana maanisha analosema na utendaji wake 7
  • @
    @ramadhansylvesta1952منذ 5 سنوات wewe ni wazirt sio naibu waziri for me 2
  • @
    @abdallabundala158منذ 5 سنوات corruption is flowing in many Tanzania cilvil servants
  • @
    @samwelonesmo5964منذ 5 سنوات Bashe swala la pamba vp mbona mkulima halipwi pesa af Hadi Sasa 5
  • @
    @godfreythomas3931منذ 5 سنوات Ya badala ya kucmamia unga sasa1400 kilo Uhangaika naambolea rais akicema hamfanyikaz mnaona mmeonewa 4
  • @
    @kabugashija4836منذ 5 سنوات Ngangamala Bashe labda nafuu ya wakulima itapatikana, lakini ni kwa nini ninyi mnaosoma na kupewa DHAMANA MNAZITUMIA OVYO KUTUUMIZA WALALAHOI? NA KUTUIMBISHA WIMBO WA HALI NGUMU? ETI RAISI KABANA .JE NI KWELI???? 3