Duration 3:12

Mbio za magari za WRC Safari Rally kuingia siku yake ya pili kesho

362 watched
0
0
Published 2023/06/22

Makala ya mwaka huu ya mbio za magari za WRC Safari Rally yataingia siku yake ya pili kesho huku mkondo wa pili ukiandaliwa katika sehemu za Naivasha na Elementaita. Madereva watapambana katika sehemu sita za kilomita 125.54. Mashindano hayo ambayo yamewavutia jumla ya madereva 34 yalianza leo kwa awamu maalum iliyoandaliwa katika shemu ya Kasarani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://bit.ly/2Q3HICf Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCsports #KenyaSports #wrcsafarirally

Category

Show more

Comments - 0