Duration 17:9

Simba yaupiga mwingi na kuilamba Azam 2-0 robo fainali ASFC - Tazama highlights

764 512 watched
0
2.2 K
Published 2020/07/01

Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC , mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam sports uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco na Clatous Chama. Tazama highlights. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 231