Duration 4:21

AJALI NYINGINE YAUA WATANO JIJINI MBEYA

33 878 watched
0
122
Published 2018/07/06

Siku tano tu baada ya ajali mbaya kusababisha vifo vya watu 20 eneo la Mbalizi nje kidogo ya Jiji la Mbeya ajali nyingine inayofanana na hiyo imesababisha vifo vya watu watano baada ya Lori kufeli breki na kuparamia magari matatu na kulalia Noah na kusababisha vifo vya watu watano

Category

Show more

Comments - 55