Duration 12:26

CHANGAMOTO YA MADARASA SHULE YA MAPINDUZI/ OMBI KWA WADAU NA SERIKALI KUWAUNGA MKONO UKARABATI HUO

1 128 watched
0
20
Published 2021/07/15

#Mapinduzi #serengeti #shule Shule ya msingi Mapinduzi iliyoko Mara wilaya ya serengeti kata ya morotonga National imeanzishwa mwaka 1977 inazochangamoto nyingi zinazoikabili pamoja na Upungufu wa ukarabati wa madarasa hali inayopelekea wanafunzi hao kusoma kwa kubadilishana asubuhi na mchana Mkuu wa shule GODRIVA ERNEST amewaomba wadau mbali mbali wa maendeleo katika wilaya yetu ya serengeti kujumuika katika ukarabati wa madarasa ilii kuhakikisha taaluma inapanda katika shule hio Hata hivyo GODRIVA ERNEST amesema licha ya kuwa na mkakati wa wazazi wote katika mtaa wa national kushiriki katika uchangiaji wa zoezi hilo lakini fedha hizo hazitoweza kukidhi ukarabati huo Nae kwa upande wake Mwenyekiti wa kitongoji JONGO MATUSI amekazia juu ya kuwaomba wadau hao kuwasaidia katika ukarabati huo ikiwemo WORLD CHANGER,SENAPA,IKONA WMA,GRUMETI FUND na wengineo

Category

Show more

Comments - 5