Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu *Shaka Hamdu Shaka* amewaomba Radhi watanzania kwa Tatizo la Mfumo wa LUKU wa TANESCO na kuwasababishia Usumbufu watanzania wengi. Ameipongeza Pia Serikali ya Awamu ya Sita Chini ya Rais *Samia Suluhu Hassan*, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Nishati namna wameshughulikia tatizo hilo na kurejesha Huduma kwa wananchi.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu *Shaka Hamdu Shaka*: