Duration 5:28

Nguvu Nyuma Ya Marafiki Wanaokuzunguka ( Part 1) - Joel Nanauka

9 874 watched
0
155
Published 2019/11/07

Nguvu nyuma ya marafiki uliona, mara nyingi tunakuwa na marafiki na bila kujua watu wanaotuzunguka wanatuathiri katika mfumo wa maisha yetu ya kila siku.Hivi unajua wastani wa maisha yeko unayoishi inategemeana sana na watu sita waliokuzunguka.Niandikie hapa chini, Je kuna ukweli wa namna gani katika mambo niliyo yaongea? #JoelNanauka#Marafiki#Wanaokuzunguka.

Category

Show more

Comments - 27
  • @
    @bakarimbonjo7182منذ 5 سنوات kama na wew umemwona mtangazaji anamuelewa sana Joe kama navyomuelewa mimi gonga Like. za kutosha 4
  • @
    @devothadonaldsimbi3499منذ 5 سنوات Nimekuelewa kabisa bahati Nzuri hiki ulichokielezea au ulichokifafanua vizuri Mimi nilikwishakuambia muda ,uko sahihi kabisa wengi tunachanganya au tumehindwa id="hidden1" class="buttons"> kutambua urafiki tulionao Ni upi tunabaki kulalamika tuu.shukrani kwa yote ....وسعت 1
  • @
    @Dm-yq9wnمنذ 5 سنوات Kaka unakipawa kikubwa mno japo watu wanachulia poa nimerudisha hichi kipambe zaidi ya mara tatu umenifundisha kaka jinsi ya kujua type ya marafiki 5
  • @
    @msleny6767منذ 5 سنوات Huu ni ukweli kabisa
    You are the everage of those whom you spend your time with most of the time, it is practical
  • @
    @zuhuraabdillah6941منذ 5 سنوات you opened my ears bro i was think everybody is best friend but not true ooooh so its my duty to sort friends and their categories
  • @
    @johnluhwa8342منذ 5 سنوات Kazi nzur sana kaka Joel, tunaomba hii mada uimalzie ni funzo kubwa sana kwetu. 1
  • @
    @teamfocusfunny966منذ 5 سنوات I need to share this, You are the best bro.
  • @
    @aishaomar4318منذ 5 سنوات Ili awe rafkiako aweje au awe na sifa gani?