Duration 2:26

MWILI wa WAZIRI ALLY ULIVYOTOLEWA HOSPITALI MWANANYAMALA KUELEKEA TANGA

7 340 watched
0
16
Published 2021/07/24

MWILI wa WAZIRI ALLY ULIVYOTOLEWA HOSPITALI MWANANYAMALA KUELEKEA TANGA... Mwili wa Mwanamuziki wa siku nyingi, Waziri Ally umetolewa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuelekea mkoani Tanga kwa maziko. Marehemu Njenje alifariki dunia jana usiku huku familia ikitaja chanzo cha kifo chake kuwa ni malaria na alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu. Enzi za uhai wake marehemu Waziri alifanya kazi katika bendi mbalimbali ikiwemo Msondo Ngoma, na kupata umaarufu zaidi akiwa na bendi yake ya Kilimanjaro maarufu kwa jina la Wana Njenje, ambayo ndio alikuwa anaitumikia mpaka umauti ulipomkuta. Mwili wa marehemu Waziri Njenje unatarajiwa kuzikwa kesho kijijini kwao Pongwe Mkoani Tanga. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY: http://shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 7