Duration 3:55

KIGEZO CHA KUJIUNGA NA JESHI MPAKA UWE BIKRA CHAONDOLEWA INDONESIA, TALIBAN YAIONYA MAREKANI

29 watched
0
2
Published 2021/08/24

Kwa miaka mingi ili Mwanamke ajiunge na Jeshi la Nchi ya indonesia alifanyiwa vipimo ikiwemo kuingizwa vidole sehemu za Siri ili kugundu kama ni bikra au lah. Vipimo hivyo vinahesabika kuwa uyanyasaji wa kijinsia, na sasa vimeondolewa. #DW24SWAHILI

Category

Show more

Comments - 0