Duration 55:36

LIVE: MTOTO wa KARUME ACHUKUA FOMU ya KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

15 021 watched
0
37
Published 2020/06/15

🔴#LIVE: MTOTO wa KARUME ACHUKUA FOMU ya KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR... Balozi Ali Karume amekuwa wa pili kujitokeza kuchukuwa fomu ya kuwania kugombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Bakari Juma amekuwa mwanachama wa kwanza wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchukua fomu ya kugombea urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mwaka huu. Rais Dkt. Ali Mohammed Shein ataondoka madarakani baada ya kuongoza kwa vipindi viwili (miaka 10) kwa mujibu wa katiba. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 16