Duration 5:26

Ibrahim Class amfumua Mzambia, aondoka na mkada kibabe

62 593 watched
0
126
Published 2020/11/28

Mtanzania, Ibrahim Class ameibuka mshindi baada ya kumtwanga Mzambia, Simon Ngoma kwa pointi katika pambano la uzito wa Super Feather la kuwania mkanda wa GBC JNR Lightweight World’s Champion. #UsikuWaVitasa #Vitasa #PTA #ClassNgoma #VitasaNight Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

الكلمات

Comments - 55