Duration 8:21

Kwaya Ya Mtakatifu Secilia Parokia ya Nyakahoja Mwanza

15 438 watched
0
26
Published 2016/07/02

Karibuni kusikiliza na kuangalia Baadhi ya nyimbo zilizotungwa na kuimbwa kwa weredi mkubwa na Kwaya ya Mtakatifu Secilia kutoka katika parokia ya Mt. Fransisco Xavier Nyakahoja, Iliyopo katika JIMBO KUU LA MWANZA. Wimbo wa "Ee Bwana Uwe Pamoja Nami" na "Mungu Wangu Mbona Umeniacha" ni utunzi na uandishi wa Mwl. Fanikio Joseph Lindi na Wimbo wa "Ee Bwana Unihukumu" ni utunzi na uandishi wa Mwl. Edwin Alto Komba. Nakala hii pia ina nyimbo nyingine nzuri zilizotungwa na kuandikwa kwa umahiri na Mwl. Beatus Idama, David Wasonga, Intiruhungwa, Nesphory Assenga na Mwl. Lameck Cosmas. Ni vema ukajipatia nakala hii hadimu ya kipindi cha KWARESMA. Kwa mawasiliano piga au tuma ujumbe wa maandishi kwenye namba +255 764 651 131 na au +255 784 685 662.

Category

Show more

Comments - 8