#Gameboi #Sijaokoka #SlideDigital
SIJAOKOKA Official Music by Game Boi under Arusha Boy Music.
it's available in all digital platforms link..
https://ffm.to/sijaokoka
Appreciations:
Music Produced by Licky Touchiez
Video directed by number one NISHERX🎥
Connect with Game boi:
Instagram: https://instagram.com/game_boi_tz?utm_medium=copy_link
Facebook: https://www.facebook.com/martin.martin.7906
Listen to Game boi:
Audiomack: https://audiomack.com/game-boi/song/sijaokoka
Spotify: https://open.spotify.com/track/36z5CN8EXeB9ucDcsBVwZN?si=yEJdh2ueRvakfdbtagUSGA&utm_source=copy-link
Apple Music: https://music.apple.com/tz/album/sijaokoka-single/1556081193
deezer: http://www.deezer.com/album/211412232
The Official YouTube Channel Of Game boi. Subscribe for the Latest Music Videos, Performances and Many More....
For Brookings & More
Email: Gentriezmusic@gmail.com
Phone no: +255 788 172 341
#Gameboi #Sijaokoka #Gentriez
Lyrics:
[intro]
yesuuwaanguu
game boi
Kuwaza kuhoa sijadiriki
ulicho kihoa nishabiriki
unahonga alafu unaishia kukiss
wakitonga tunamnyonya hadimizizi
unatingisha kitu akitingishikii
siunakakama kama kakisiki
me sio malaika nisikusaliti
sijaokoka ila mungu ananibariki
(Chorus)
MBONA ME SIJAOKOKA ILA
MUNGU ANANIBARIKIIIIIIHH!!
babaako kaokoka mama ana msaliti
NASEMA ME SIJAOKOKA ILA
MUNGU ANANIBARIKI
bibiako kaokoka babu
yakoanaa kuchawia
aunt yako anakuchawia
mjobaako anatuwangia
NASEMA MI SIJAOKOKA
alafu hamji kuniwangia
yani hamji kunichawia
tunguri kunichezea
MBONA MI SIJAOKOKA
ILA MUNGU ANANIBARIKI
[verse]
mbulaaah...haleluya amina
maskin alikuwa na heshima
tulikesha nae salaa ya safina
leo amezipata katusahau majina
kanisan anasinzia kizezee
maskan anatuimbi zezee
lakuchumpa na suti ya kitenge
ana fukuza mapepo naongeza mawenge
Niki kuibia naingia chaka
bila badoo nakuwashia data
niliokoka ila wazazi walikata
nikasizi shadaa nikaisi kudata
Ni mim nilie mloga jini
olowaibia kanisa maskini
She kwa waganga unataka nini
unataka utuloge msikitin
Sisi atuja okoka ila mungu anatubariki
Mchizi wako kaokoa Demu wake anagawa ligi
Dedi muuuza mobi na mungu ana mbariki
Mamaako swala tano
DADaako anadanga bia
Kakaako anatuibiaa
babaako anatuwangia
babu yako kaokoka
mraka anawaonga bia
Club ana wabambia
Nakanisan anaingia
(CHORUS)
MBONA ME SIJAOKOKA ILA
MUNGU ANANIBARIKIIIIIIHH!!
babaako kaokoka mama ana msaliti
NASEMS Mi SIJAOKOKA alafu
MUNGUNGU ANA ANANIBARIKI
machizi wako kaokoka
demu wake anagawa ligi
MBONAME SIJAOKOkaa
( verse)
usinilete ufitna mkosi
unawashwa utadhan unavirusi
mamba nawageuza mjusi
iyo bro dont say mmekutusi
wakishamba wanaringia msosi
Hawana shamba wamebarikiwa mikosi
nataka manzi mwenye rangi ya mpoki
fakes Watacopy time am popiin
brodaa me ni dangerous
ivyo nimetokea kweny angle dast
nashona uku nikitumia mkasi
kwa manz akonisha lipizia kisas
.kesho nitakuletea pigo kaza jesus
.nakuchekea ukunalipia kisasi
naunauza zigi na unadis manyasi
pls do dosht ustake beef narasi
(Chorus)
MBONA ME SIJAOKOKA ILA
MUNGU ANANIBARIKIIIIIIHH!!
babaako kaokoka mama ana msaliti
NASEMA ME SIJAOKOKA ILA
MUNGU ANANIBARIKI
bibiako kaokoka babu
yakoanaa kuchawia
aunt yako anakuchawia
mjobaako anakuwaangi
NASEMA MI SIJAOKOKA
alafu hamji kuniwangia
yani hamji kunichawia
tunguri kunichezea
MBONA MI SIJAOKOKA
ILA MUNGU ANANIBARIKI
NASEMS Mi SIJAOKOKA alafu
MUNGUNGU ANA ANANIBARIKI
machizi wako kaokoka
demu wake anagawa ligi
MBONAME SIJAOKOkaaaa
GAMEBOI SONGS OUT WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORM
For bookings:
Contacts— gentriezmusic@gmail.com
+255788172341
Follow Game Boi on:
https://www.instagram.com/game_boi_tz/
Channel Administered by Slide Digital
https://instagram.com/slidedigitaltz