Duration 10:18

SIKU YA KITABU:IRINGA NI WAZAZI 3-10 TU HUPELEKA WATOTO MAKTABA

187 watched
0
6
Published 2021/04/23

Mkutubi wa Maktaba ya Mkoa wa Iringa Bi Consolata Mwingireza amesema mwamko wa wazazi kuwapeleka watoto maktaba Ni mdogo ukilinhamisha na watu wazima ambapo Ni wazazi 3-10 tu ndio hupeleka watoto walio chini ya umri wa miaka nane kujisomea na kiazima vitabu kwa wiki. Bi Mwingereza amesema licha ya hamasa inayofanyika mara kwa mara kuitia shule za Msingi lakini kutokana na tamaduni ya jamii kutoenda usoma vitabu kunapelekea mwamko mdogo wa watoto kwenda maktaba na kujopatia maarifa yaliyomo katika vitabu

Category

Show more

الكلمات

Comments - 0