Duration 54:8

Mimi sio msomi,Kiingereza nakijua vizuri Kuna mtu aliwahi niingiza kwenye madawa ya kulevya

26 079 watched
0
332
Published 2020/09/03

#wasafi #tredyshow Mimi sio msomi kiasi hicho, lakini Kiingereza nakijua vizuri "Kuna mtu aliwahi niingiza kwenye madawa ya kulevya" - TID

Category

Show more

Comments - 107
  • @
    @sabbob574منذ 4 سنوات TID still on top. Legend. U rock so many dancing floor around the world no body can take away that from u. Big up to u. Ladies another great interview 3
  • @
    @mahmoudaziz4717منذ 4 سنوات Uyu msanii ni best sana tanzania.TID anajua sana. 8
  • @
    @hassanjecha50منذ 4 سنوات huyu jamaa yuko vizur ktk kingereza na ni msanii mzuri lakin tatizo mambo mengi tu 19
  • @
    @lockdown4670منذ 4 سنوات TID was top kwa bongo. Nakumbuka alipokuja concert Kenya. Sisi bado twampenda na twasikiza wimbo zake bado. 9
  • @
    @yudatadeshayo4434منذ 4 سنوات TiD,hemedy,gigy money ,ben pool ni watu ambao mb zangu watakula sana very open kwenye interview zao 2
  • @
    @alibinali_منذ 4 سنوات Kama wanipenda ninunulie zeze niki lala kitandani zeze lanibembeleza that is T.I.D remember that song when I was in school 1
  • @
    @aminathaabubakarmasoud565منذ 4 سنوات Brother TID leo umetulia mashaallaah, afu ukiwaga hivyo sikuzote unapendeza mnoo 1
  • @
    @lovvy854منذ 4 سنوات TID ni kigogo wa sanaa manbo cheche na bado yupo juu tu Sana anatisha kinyama namkubalii ✌️
  • @
    @azzamahamdu7039منذ 4 سنوات Top in dar/ TID.tid is a full Package jomon ZEZEkipndi ni kizuri lkn mda wachosha. Punguzeni mda kdgo 1
  • @
    @alimbwana5952منذ 4 سنوات Mars you so Chicky with your eyes,love you crew 3
  • @
    @godfreymlay5106منذ 4 سنوات sindi uko vizuri sana unajuwa kazi yako nini ila wenzako wanauza sura
  • @
    @eastcuisines124منذ 4 سنوات leo ndo nimejua maana ya TID ."Top In Dar" 1
  • @
    @yassersahin6639منذ 4 سنوات Mimi Mars amuite daimond umuhoji hapa 1
  • @
    @alirashid3239منذ 4 سنوات Leo ndo umetulia na umeongea kiutu uzima kuliko interview zote. 15
  • @
    @sambesk2719منذ 4 سنوات Tid.kumbe ukihojiwa na wanawake huaga unatulia hivi. 1
  • @
    @alibinali_منذ 4 سنوات T.I.D this guy is Dop katika wasani wingi wa Tanzania huyo jamaa ako juu in English 2
  • @
    @arakazakinglight4253منذ 4 سنوات Comme si ,comme ça ## T i D ni fool paquage ,welcame in french systm , from
  • @
    @subrynerysegerow1323منذ 4 سنوات Jamani corona hakuna tunawataka mrudi studio bwana we ah
  • @
    @oliviermukulikire996منذ 4 سنوات Ni kweli kabisa iyo ngoma ya nyota yake imevucha record pote kabisa
  • @
    @nickjuma3937منذ 4 سنوات TID umesahau! hata baba Levo alikwenda jela!
  • @
    @bellabakeraمنذ 4 سنوات Guys I think you should try to accept people the girl in the right side she is like that. 2
  • @
    @kizinja7873منذ 4 سنوات tid unanimalizia bando langu mbwa ww yani daah nakkubali sana
  • @
    @issaissah8832منذ 4 سنوات Kuwa kwenye gem muda mlefu sio issu mafanikio ndio issu 1
  • @
    @maomacatta9770منذ 4 سنوات TID hana jipya ubishoo umepitwa na wakati umeanza jabla ya Diamond lakini mwenzio yuko juu hana ubishoo
  • @
    @omarykiduka8307منذ 4 سنوات Kiukweli tid Kama umerud mzki umebafilika
  • @
    @munyemanahassan7807منذ 4 سنوات TID leo naona umetulia na unaongea sawa, lazima jifunze kubadiri past, ndani yako kuna uwezo mkubwa
  • @
    @muthegreat3667منذ 4 سنوات Sija wai ona td katulia kam kwenye hiichi kipindi .
  • @
    @monicawanza2100منذ 4 سنوات Nlithani dada mwenye ako right yuwamchukia Tanzania sweetheart kumbe ni maumbile yake, hawezi smile hata kidogo 3
  • @
    @blandinamnyinga8318منذ 4 سنوات uongo mwingine hadi viganja vinawaumbua
  • @
    @LeeUfuduمنذ 4 سنوات Kiingereza ni lugha tu kma lugha zingine 1
  • @
    @Qtep-eb3ogمنذ 4 سنوات Nyie wadada hampendi huyo dada mnjano kama yote mshaurini mwenzenu kila kipindi make up kama jini 5
  • @
    @samwelsengati1369منذ 4 سنوات Achen kupumbaz watu kwan kuongea kingereza ndio nn. Kingerez n lugha sawa na kimakonde. Tofaut nn lugha y kimataif 1
  • @
    @maryamabdallah3140منذ 4 سنوات Dunia mataa.Kila Jambo litapita, tumpende Muumba tusipende vilivyoumbwa, tumrudie Muumba.
  • @
    @jassminjamal8305منذ 4 سنوات Huyo Dada anajiita mwilu naona hapo hapamufai hachagamki unaonaje mka mpakazi nyingine hapo mfai
  • @
    @sumayahfathi9413منذ 4 سنوات Tatizo mashauz meng,unaongea kwa madoido na hicho kilevi unachotumia jitaid ukiache , unaongea sanaaa tu 5
  • @
    @jacklinejames1050منذ 4 سنوات Hili libibi linavyosemaga "watoto wadogo".unawanunulia pampas
  • @
    @seifmohamedseif9467منذ 4 سنوات Sio tatizo kwa baba yako kuhusu mzik hata kwa Mungu mziki ni haram
  • @
    @silverman6930منذ 4 سنوات What’s wrong with this gal on the right try and smile please damn , you look miserable as seen otherwise 4
  • @
    @Rashidmhedheryمنذ 4 سنوات Pumbavu, zungunza Kiswahili mkundu wewe!!!! 1